zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
jibu ni ndio, rejea mechi yao na simba walichezesha kikosi gani na wachezaji wa kikosi cha kwanza walikuwa wapiKwani mkuu, Wale waliowakanda tatu wana timu bora kuliko Simba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu ni ndio, rejea mechi yao na simba walichezesha kikosi gani na wachezaji wa kikosi cha kwanza walikuwa wapiKwani mkuu, Wale waliowakanda tatu wana timu bora kuliko Simba?
Huyu isije ikawa alipokea bahasha.. aliwarahisishia sana Uto hadi akashtukiwa
Hawana kikosi kizuri kuliko Simba. Nafasi yao kwenye ligi inathibitisha hilo.jibu ni ndio, rejea mechi yao na simba walichezesha kikosi gani na wachezaji wa kikosi cha kwanza walikuwa wapi
Uzembe ange slide mapema ku block mpira...Lile goli ili azuie ilihitajika aruke azuie kwa mkono.
Mpira ulikua na kasi zaidi yake
Sio pole,mimi naangalia games nyingi Si yanga na simba pekee mpk coast vs KMc niliangalia,wapinzani wanapumbazwa akili angalia wachezaji wanapocheza na yanga halafu waangalie haohao wakicheza na timu nyingine ndio utaelewa ninachosema ila km ni shabiki wa yanga hutanielewa.Pole mkuu, mungu awafanyie wepesi mwakapenat wote waloumizwa na matokeo ya leo.
Ilibidi iwe 6 - 0, lkn Refa kakataa 1 kwavile kafunga Dube.🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 Day🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚Fountain Gate
📆 29.12.2024
🏟 KMC Complex
🕖 10:00 Jioni
View attachment 3187603
#Daimambelenyumamwiko#
Gusa achia, twende kwao, tukawafunge nyingi.
KIKOSI CHETU CHA LEO
View attachment 3187715
View attachment 3187741
Updates
Mechi imeanza
DK 1
Mpira unaanza kwa kasi.
Yanga wanaumiliki mpira,
0-0
DK 12
Game on umiliki uko kwa Yanga sasa.
FG bado hawajakaa vizuri.
Prince Dube anadhibitiwa kwa umakini na Makame.
DK 14
Pacomeee anapiga inagonga net ya nje pale.
0-0
DK 15
Goooooooooooal Pacomeeee.
Yanga wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Pacome
1-0
DK 27
Mpira unaendelea Yanga wanapata free kick nje kidogo ya 18.
Baada ya Aziz K kudondoka.
Anapiga Aziz inagonga mwamba.
Cooling Break
DK 30
Yanga wanafanya shambulizi kali, linatolewa nje, inakuwa kona anapiga Aziz Kipa wa FG anaudaka mpira.
Game On
1-0
DK 34
FG wanafanya shambulizi kali kwenye lango la Yanga, Ambundo anapiga inakuwa off target.
Mpira wanamiliki FG sasa.
1-0
DK 40
Mudaaaaaathiri
Goooooooooooal la pili.
Ilikuwa hivi: Dube alitanguliziwa akapiga kipa akaitoa ikawa kona, akapiga Aziz Kona, Ikapigwa kichwa na FG Mzize akairudiasha ndani kwa Kichwa Mudathir akafunga a very clear goal.
2-0
DK 45
Goooooooooooal
Pacomeee anafunga goal la 3.
Kwa Yanga.
Ilikuwa Mzize ametoa assist kwa Pacome.
Chuma cha 3.
Dakika za Nyongeza ni 3.
3-0.
HT
Yanga 3 - 0 Fountain Gates FC
View attachment 3187829
============&&&&&&&&=======
2nd Half Updates....
DK 45
FG Substitution
Albano Out
Shiga Inn
Mpira unaendelea
3-0
DK 51
Yanga wanapata Kona inapigwa na Pacome, inatokea kosa kosa golini kwa FGT.
Piga piga inazalisha free kick nje kidogo ya 18.
Abdala Yasin Anapata Kadi ya Njano.
Anacheza Ki Aziz kipa anatoa nje, inakuwa kona inapigwa inaoshwa na FG
DK 53
Goooooooooooal la Nne.
OG wanajifunga FGT hapa baada ya Pacome kupiga shout kali inagonga mtambaa panya beki wa FGT wanajifunga.
4-0
DK 61
Dubeeeeeee anatupia inakuwa offside.
DK 62
Substitution Yanga.
Aucho Out
Sureboy Inn
Dube Out
Farid Mussa Inn
Game On
4-0
DK 69
Substitution FGT
Ambundo Out
Kassim Inn.Game on
4-0
DK 70
Yanga wanapata kona hapa.
Anapiga Pacome inakuwa goal kick.
Baada ya Abuya kuitoa kwa kichwa.
4-0
DK 72
Subs Yanga.
Aziz Out
Shekhan Inn
DK 74
Yanga wanapata kona inapigwa na Pacome inaokolewa na FGT
4-0
DK 80
Yanga wanapata free kick inapigwa na Pacome, Shekhan anaipokea anapiga off target
Game On
4-0
DK 84.
Mokono Yellow kadi
Substitution kwa Yanga.
Nkane Inn
Pacome Out.
DK 86
Mzizeeeeeeeeeeee
Chumaaaaaaaaa cha 5.
Yanga wanapata goal la 5 hapa.
Mzize anaichop kwa mbali baada ya kipa kuitoa.
Chuma inajaa wavuni.
5-0
DK 90 nyongeza ni 3.
Yanga wanapata kona inapigwa haileti madhara .
Free Kick wanapata Yanga anaipigwa na Boka wanaitoa FGT inafika kwa Babu kaju anapiga Shuti anaondoa Kipa wa FGT.
5-0
Mpira Umemalizika Yanga 5 - 0 Fountain Gates FC
View attachment 3187891
Kabisa hata mi na mashaka na Dube.. yaani game tafu atatulaza na viatu sasa kama Ile chansi sijui alishindwaje kufunga sijui hajiamini?Dube badooo mechi yenyee intensity kubwaaa kama To sizanii Lamaa atafurukuta...Leo pakufunga anakosaa,Kii nae pass zinafia kwakee
Dah! Kichuguu umepatia perfectly utabiri wako kama vile ni Sheikh Yahya.Nimechelewa kwenye mishe mishe; nilitaka kuwahi nianzishe uzi huu ila tena umeshanipiku. Ngoja nitafanya taimingi nzuri kuanzisha uzi wa wakati wa mchezo dhidi ya TP Mazembe.
Nitafurahi sana iwapo Yanga itapata mabao 5-0 ili kuondoa pengo la Goal Difference dhidi ya Simba
Hapo kwenye mashindano ya kimataifa ndipo huwa tunapata majibu kwamba kuna timu huhonga ili ipate ubingwa kitaifa na ikifika kimataifa inaangukia mkiani kwa sababu huko kimataifa hakunaga kuhonga.Timu zinarudi mashindano ya kimataifa ndio ukweli utajitenga
Tatizo hajaamini,lakini pia mwogaa Sanaa kugusana sijui anaogopa kuumia.Anacheza kikeekikeee.Kabisa hata mi na mashaka na Dube.. yaani game tafu atatulaza na viatu sasa kama Ile chansi sijui alishindwaje kufunga sijui hajiamini?
Simba mna midomo sana, msimu jana tuliwakanda 5 bt kila tulipocheza na tim zingine tukizifunga mnatoa milio as if nyie hamjakandwa.Sio pole,mimi naangalia games nyingi Si yanga na simba pekee mpk coast vs KMc niliangalia,wapinzani wanapumbazwa akili angalia wachezaji wanapocheza na yanga halafu waangalie haohao wakicheza na timu nyingine ndio utaelewa ninachosema ila km ni shabiki wa yanga hutanielewa.
Timu zinarudi mashindano ya kimataifa ndio ukweli utajitenga
Mm simshabiki wa club but mpz wa mpira,so km unafikiria ninauhusiano na klabu yyt umepotea boss,I love football na Kwa sasa kuna wakimbiaji lkn vipaji hakuna,mara nyingi sana siwezi angalia mpira dk zote 90 kwakua mpira ninaoujua siuoni,naona wakimbiaji/wavivu tuSimba mna midomo sana, msimu jana tuliwakanda 5 bt kila tulipocheza na tim zingine tukizifunga mnatoa milio as if nyie hamjakandwa.
Msim huu pia tushawakanda mara 2, bt bado msivyo na aibu bado mnatoa milio wakifungwa wengine.
Tunasubiri mbadilishe mlio sasaTimu zinarudi mashindano ya kimataifa ndio ukweli utajitenga