Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Gusa achia twende kwako View attachment 3187804
Dunia inaenda kasi sana, watu wanatamba kushika nafasi ya pili.Kuna siku wanaweza kuita press conference maana washaanza kulia, akaze kiuno huko juu kwani mwanaume anampumulia kwa nyuma.
Tuishi humoTatu muhimu ✅
Dunia inaenda kasi sana, watu wanatamba kushika nafasi ya pili.
Kwani ligi imeisha?Dunia inaenda kasi sana, watu wanatamba kushika nafasi ya pili.
Mbona kama hamjiamini ?Dunia inaenda kasi sana, watu wanatamba kushika nafasi ya pili.
Wanakula wiki leoFountain Gate iliyofungwa na nyumbani na Namungo au nyingine?
Kwa hisani ya kamkonoMpaka ulie kolo
Hukumbuki mliakua wa tatu au???Dunia inaenda kasi sana, watu wanatamba kushika nafasi ya pili.
Bado goli moja la mkono
Na Bado tutasema sana kuikomboa hii ligi yetu pendwaBado hujasema.
Kikundi cha mazuzu
Ligi hii ingekuwa ndege, tungesema Simba yuko zake Business Class habughudhiwi na anapata huduma zote za kikubwa, huyu mwingine anahangaika zake kule Economy Class na kina Fountain Gate.
Ukiwa Business Class, misuguano ya Economy wala hauisikii. Ndiyo kinachoendelea leo.