FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

Eeeh Baba Leo Hawa Wazembe tunaomba tuwapasue 2 tu!
 
Kikosi
 

Attachments

  • IMG-20250104-WA0021.jpg
    29.1 KB · Views: 4
Kuna kitu kinaniambia kuna beki mmoja Mfupi atachomesha sijui Kwanini?
 
Mechi ya Leo inamatokeo matatu YANGA ashinde, Tp mazembe afungwe au vyote kwa pamoja
 
Sijaona umuhimu wa kumpanga Diarra wangemuacha Mshery mwenye muendelezo mzuri wa kutokuruhusu goli nyavuni kwake
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Kikubwa tunachohitaji ni points tatu walau zituongezee morali zaidi katika kisaka points zingine sita ili tujiwekee uhakika wa kuvuka robo fainali.

"DaimaMbeleNyumaMwiko.

Gusa, achia, twende kwao.
Mimi ni Yanga ila leo Sina Imani kabisa
 
Mimi nawauliza:

Kocha huyu mbovu sio mbovu?
Dube anajua au anabahatisha?
Wachezaji wameacha pombe au bado?
Pamoja na hayo mechi ya leo ni ngumu kwa Yanga.
Mimi ni 🦁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…