FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

Kwa hiyo wewe ungefanyaje katika situation Kama hii suppose umemfumq mumeo akiwa na mchepuko wake?
Ni kweli,nitakuwa simpendi kama kigezo cha upendo ni kupigana na mwanamke ambaye kuna uwezekano mkubwa alitongozwa na mume wangu ambaye anajua ana mke
 
Mbwa kabisa unaanzaje kufanya upumbavu huo km mtu huna hela ya lodge si Bora uende hata msituni mkanyanduane Kama nyani huko
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… afu watu wawaze kuuzwa kwa bandari kabisa wakati mbumbusi zinaliwa kma wagonjwaπŸ™ŒπŸ™Œ
 
haina haja ya kwenda kufumania , sijui unapigana! Kwanini ujitese??
Inakusaidia nini ukimpiga mtu kwa mfano?
Na ukiambiwa wapo mahali fulani eti unakwenda kuhakikisha nini? Ukishahakikisha na Ili ukijua ufanyeje sasa?
 
Ila kuna wanawake wanajua kupenda jamani...dah...!kisa mume??pyee
Kama wewe ulivyokuwa umpendi mume wako mpaka kuzaa nje, japo alikusamehe.
Kwa hio unaona mwenzio kumpenda mume wake ni shide ????
Au ni wivu tu mama eti??
 
Kutokuwa simple kwa mume/mke ni kupigana na mchepukwaji sio?
Automatically huna uhusianao wa kihisia na mmeo/mke. HAKUNA binadam mwenye hisia za dhati juu ya ndoa yake akawa hivyo. Unless ndio pigo zako.... Unayoyaona pia unayafanya πŸ™„
 
Naona wanawake wanagombania kitu chenye ncha kali.

unasema wanagombania ncha kali kwa sababu umri wako mdogo, hujaolewa, hujaoa, hujapatwa na misukosuko ya ndoa. Au kama ni mtu mzima basi upeo wako simply ni mdogo, unafikiria kupatwa na ncha kali muda wote, a plain old nitwit

watu huwa wanawekeza mipango yao, maisha yao na ya watoto wao kwenye ndoa, inapoharibika kwa wengi huwa ni karibia na death blow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…