Kwa ujenzi wa kibongo bongo,vijana watakula laki 3 au 2 nyingine aweke mfukoni. Hao hao ndo wataamuwa kuimalisha au kukupiga chenga la macho. Huwezi kujenga bila taarifa. Huko mtaani wanakojenga ukiwapata vijana, wapatane wao,mbona utafurahia kazi na utabaki na karibia nusu!? Usiwabanie tu.Yeye anasema yupo na timu yake ya mafundi wapo kampani... kesho ndo nawaona.. kitajulikana tu
Hapo sasa nimekuelewa mkuu, maana yake huyo nayemwita fundi usikute ni mtu wa kati anakubaliana na mimi 750 anaenda tafuta mafundi wa 400 nimekuelewaa hapo lazima walipue kaziKwa ujenzi wa kibongo bongo,vijana watakula laki 3 au 2 nyingine aweke mfukoni. Hao hao ndo wataamuwa kuimalisha au kukupiga chenga la macho. Huwezi kujenga bila taarifa. Huko mtaani wanakojenga ukiwapata vijana, wapatane wao,mbona utafurahia kazi na utabaki na karibia nusu!? Usiwabanie tu. Hata msosi ukipenda wachukulie. Mafundi wanaoeleweka,utawakuta maofisini kwao,na kama nyumba atapatana yote. Msingi, mara lenta, mara nini, hao njaa tu. Kwani wewe ukiamua si unasimamia tu?
Chukua tu mfano wa rangi na lipu. Mtu atakwambia nakupakia rangi safiiii. Muite tu dalali. Alete vijana anaowajua wazuriiii. Wafanye kazi,asifiwe yeye. Wewe ukizama mtaani,ukaacha uvivu,kule wanakouza rangi kama madukani au zile za mtaani, utawapata wa chap na kazi zao nzuri.Hapo sasa nimekuelewa mkuu, maana yake huyo nayemwita fundi usikute ni mtu wa kati anakubaliana na mimi 750 anaenda tafuta mafundi wa 400 nimekuelewaa hapo lazima walipue kazi
Kujenga tofali moja ni tsh 300/=, kuchimba msingi wa hicho kibanda tsh 50-80,000. Chakula ni juu yao.Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Kakikisha msingi unainuliwa vizuri, angalau line za tofali juu ya usawa wa ardhi..Okay mkuu basi nitaangalia... sina uhakika kama ni fundi mzuri ila ameniambia yupo na timu yake...
INategemea, huenda ni ujenzi wa kienyeji labda hamwagi floor/ jamvi.
Nyie ndio mnafanya miji inakuwa na uswazi na skwata.
Upuuzi tu
Kiaina imechangamka kutegemea na eneo maana kwa Dar sawa lakini mkoani inaweza kuwa chini tu zaidi ya hapoNi kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Mwasibu huyoTembeza kotesheni
Naweza kukujibu kua UNAPIGWA na naweza kukujibu kua HUPIGWI.Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
450000 nisawa kabisa.Duuu ...hela n nyingi san angalau angesema 450k
Hiyo nyumba ya kuishi miaka 50 mbeleni unaionea ubahiri wa kumlipa fundi 750000.Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.