Kwa ujenzi wa kibongo bongo,vijana watakula laki 3 au 2 nyingine aweke mfukoni. Hao hao ndo wataamuwa kuimalisha au kukupiga chenga la macho. Huwezi kujenga bila taarifa. Huko mtaani wanakojenga ukiwapata vijana, wapatane wao,mbona utafurahia kazi na utabaki na karibia nusu!? Usiwabanie tu.Yeye anasema yupo na timu yake ya mafundi wapo kampani... kesho ndo nawaona.. kitajulikana tu
Hata msosi ukipenda wachukulie. Mafundi wanaoeleweka,utawakuta maofisini kwao,na kama nyumba atapatana yote. Msingi, mara lenta, mara nini, hao njaa tu. Kwani wewe ukiamua si unasimamia tu?