Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
kwa hizo idadi ya tofali, 750,000 ni nyingi, nyumba ya vitatu yenyewe huwa haifiki hiyo pesa. Hapo mpe 450,000/= kuchimba msingi, kujenga na kufunga mkandaNi kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Hujapigwa..nyumba msingi.sasa ww kaweke msingi wa lak 2 kesho uje kulia humu. Halafu kaz za ujenz ngum nyie watu mnafikiri hatuumii hiz kaz ni bas tu njaa na dhiki zinatufanya tunafanya hizi kaz lakin sio kazi. Mm mwaka huu mlijapanga uwe mwsho kufanya hizi kaz kwanza huendelei unapata rizki yq kusavaivu tu mbele huendi nyuma huendiNi kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Mimi labor alikula milion point 15 hapo msingi na mkanda. Kunyanyua hati rinta na kozi tatu za juu akala milon 1.6. mashimo ya choo akala kama 450kNi kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Umepigwa...!!!Mimi labor alikula milion point 15 hapo msingi na mkanda. Kunyanyua hati rinta na kozi tatu za juu akala milon 1.6. mashimo ya choo akala kama 450k
Nasubiri wa kuezeka january nione atakula ngap
View attachment 2822374View attachment 2822375
Mimi nilijenga kwa 500,000/=Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Ukubwa wa nyumba?
Hapa unapigwa parefu sana mkuu. Tafuta fundi mwingine ulinganishe bei.Hii ni fair ama napigwa?
Mara nyingi gharama huwa ni 20 to 30% ya material cost. Binafsi siwezi kukushauri hapo, maana sijui gharama za materials za msingi wako ni kiasi ganiNi kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
Siku hizi unaandika Kiswahili kizuri sana hongera.Kuna mengi yanahusu msingi kwanza kuwa imara wa kudumu miaka mingi Sana'a au niseme daima
Ubora unaendana na pesa zaidi
Uliza fundiz kuanzia watatu
Ilinuamue.. na utulize maswali.. ubora muhimu sanaaaa
Inatakiwaa iwee ngapi mkuu embu nipe matazamioMbona bei kubwa zana hyo. Hyo ni kazi ya siku mbili tu anaimaliza. Hapo umepigwa kaka shida ya mafundi wana tamaa sana. Mimi huwa ukiniambia bei kubwa kupitiliza hata sitii neno nakwambia nenda nitakuita. Alaf nafunga vioo mazima.. yani watu kibao wako mtaani wanatafuta kazi alaf unapata kazi unampiga mtu bei kubwa hvi
Asante mkuu shukranikwa hizo idadi ya tofali, 750,000 ni nyingi, nyumba ya vitatu yenyewe huwa haifiki hiyo pesa. Hapo mpe 450,000/= kuchimba msingi, kujenga na kufunga mkanda
Okay mkuu nashukuru sanaUnapigwa mkuu. Mimi nilijengewa msingi kwa 450,000. Pesa ya kula juu yao. Tena nyumba ni kubwa kuliko hiyo yako. Msingi upo fresh sana. Tafuta mafundi zaidi ya watatu
Nenda msumbiji islamic state na alshabab wapo huko piaHujapigwa..nyumba msingi.sasa ww kaweke msingi wa lak 2 kesho uje kulia humu. Halafu kaz za ujenz ngum nyie watu mnafikiri hatuumii hiz kaz ni bas tu njaa na dhiki zinatufanya tunafanya hizi kaz lakin sio kazi. Mm mwaka huu mlijapanga uwe mwsho kufanya hizi kaz kwanza huendelei unapata rizki yq kusavaivu tu mbele huendi nyuma huendi
Vile dili langu la somalia lilibuma tu
Mtoto wa mama umewaza maugaidi. Kiazi kweli kwanza mm sio musilam kama unawaza hvyo. Somali nlikua naenda kaz ya ulinzi. Kama una mchongo ata palestina au israel au afghanistan au south sudan nishtue popote watu tunaendaNenda msumbiji islamic state na alshabab wapo huko pia