Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
kwa hizo idadi ya tofali, 750,000 ni nyingi, nyumba ya vitatu yenyewe huwa haifiki hiyo pesa. Hapo mpe 450,000/= kuchimba msingi, kujenga na kufunga mkandaNi kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?