mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
*Tofari 700× 300= Tsh 210, 000/=Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe unaweza kula tofali 700 hivi.
Halafu hivi wakiwa site chakula si huwa wanajitegemea wenyewe kutokana na hela yao ama vip?
*Kuchimba msingi= Tsh 60, 000/=
* kumwaga zege(mkanda wa chini)
Tsh 100, 000/=
Jumla tsh 370, 000/=
Wewe ujui kusoma ramani na kuset.kwa iyo hapo kuna ela yake ya kusoma raman na kuset= Tsh 100, 000/=
Kwa iyo ukimpa Tsha 500, 000/= ni sawa