Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.

Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.

~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?

~ Methali 8:30 ina maanisha nini?

~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Wewe kama mtafiti huru unaweza kuja na ushahidi wa mwenzako na kutaka kuthibitishia watu yale unayoyadai badala ya wewe kuja na ushahidi wako binafsi ulioufanyia kazi ndio uyathibitishe unayoyadai?
 
Hebu mndenge pata ilimu!
Uislamu
emoji56.png
emoji56.png

emoji116.png
emoji116.png

: وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
: وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

claims!; Saudi author Muhammad al-Arifi Wahab Cleric said:

ARABS are the true Muslims and the true descendants of Prophet Muhammad (pbuh)..

"Non—Arabs who without shame, called themselves Muslims are just plain Converts whom are lowly cowards with unhonourable souls That were overwhelmed with ease by the Swords of Allah, thus they deserved to be called as our Dogs."

Inategemea Allah unamuita katika kitu gani. Na pia jifunze kuwa Uislamu hauamini katika miujiza kama nyie. Tunaamini atakalotaka Mola ndio litakalotokea sio kulazimisha wewe unavyotaka. Keep Allah out of you nonsense.
Its the same Mkuu tell them to keep JESUS OUT OF NONSENSE TOO
 
Unaweza kufafanua kukubali kwangu katika hiyo post?
Kiranga: Je, wilaya ya Ilala ipo katika nchi ya Tanzania?
Mmeme: Ukiuondoa mkoa wa Dar es salaam, ambao upo Tanzania, na una wilaya ya Ilala, wilaya ya Ilala haipo nchini Tanzania.

Je, hapo umekubali au umekataa kwamba wilaya ya Ilala ipo nchini Tanzania?
 
Musa aliabudu dini gani?
dini haiabudiwi alimwambudu " MIMI NIKO AMBAYE NIKO:.......na kwa kukusaidia n hv neno YEHOVA ni jina lenye asili ya kiyahud lililokuwa likitumika kwa wayahudi kitaifa kumaanisha MUNGU wa milele,,,,,na wale watatu wote ni wa milele hawana mwanzo wala mwisho.....kuna watatu wa milele BABA MWANA NA ROHO MTAKATIFU....unatakiwa kujua kuwa YESU piah aliitwa mikael ( maana ya ilo jina ni aliye sawa na MUNGU)
 
Kiranga: Je, wilaya ya Ilala ipo katika nchi ya Tanzania?
Mmeme: Ukiuondoa mkoa wa Dar es salaam, ambao upo Tanzania, na una wilaya ya Ilala, wilaya ya Ilala haipo nchini Tanzania.

Je, hapo umekubali au umekataa kwamba wilaya ya Ilala ipo nchini Tanzania?
Soma vizuri post # 240. Nataka ufafanuzi wa kukubali kwangu hoja yako. Sikuomba unioneshe wapi nimeandika.

Hata hivyo, yote ni maandiko ya Kiranga. Yangu hayapo. Nadhani umejichanganya.
 
Wewe kama mtafiti huru unaweza kuja na ushahidi wa mwenzako na kutaka kuthibitishia watu yale unayoyadai badala ya wewe kuja na ushahidi wako binafsi ulioufanyia kazi ndio uyathibitishe unayoyadai?
Maandiko aliyotoa ni hoja tosha
 
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.

Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.

~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?

~ Methali 8:30 ina maanisha nini?

~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Acha kupoteza muda tafuta hela hiyo haitakusaidia kitu chochote. Labda uanzishe kanisa lako ukawafundishe wafuasi wako kuwa hakuna Utatu Ila Wafuasi wa Papa unapoteza muda wako.
 
Screenshot_20221229-150711.png
huyu ndio mungu , EL,, mungu wa caanan na pia ndio mungu wa mwanzo wa israel kabla hawlajachukuliwa kwenda misri
🤷🏼‍♂️
 
Soma vizuri post # 240. Nataka ufafanuzi wa kukubali kwangu hoja yako. Sikuomba unioneshe wapi nimeandika.

Hata hivyo, yote ni maandiko ya Kiranga. Yangu hayapo. Nadhani umejichanganya.
Ukikubali asili Mungu hana chanzo, umekubali kwamba chanzo si kitu cha lazima.

Unaelewa hilo?
 
Isipokuwa Mungu, sijakubali kwamba chanzo si kitu cha lazima. Hilo nasisitiza.
 
Ukishasema "isipokuwa Mungu, sijakubali kwamba chanzo si kitu cha lazima".

Umekubali kwamba chanzo si kitu cha lazima.

Yani hapo ni sawa na kusema "Ukimuondoa kaka yangu, mimi ndiye kaka mkubwa kwetu".

Hapo umekubali kwamba wewe si kaka mkubwa kwenu.

Ndiyo maana ikakubidi umuondoe kaka yako ili uweze kusema ukimuondoa kaka yako, wewe ndiye unakuwa kaka mkubwa kwenu.
 
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.

Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.

~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?

~ Methali 8:30 ina maanisha nini?

~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
Ungeweka maandiko ya mistari hiyo wengine hatuna biblia
 
Ukishasema "isipokuwa Mungu, sijakubali kwamba chanzo si kitu cha lazima".

Umekubali kwamba chanzo si kitu cha lazima.

Yani hapo ni sawa na kusema "Ukimuondoa kaka yangu, mimi ndiye kaka mkubwa kwetu".

Hapo umekubali kwamba wewe si kaka mkubwa kwenu.

Ndiyo maana ikakubidi umuondoe kaka yako ili uweze kusema ukimuondoa kaka yako, wewe ndiye unakuwa kaka mkubwa kwenu.
Haya ni maandishi yako. Nanukuu:
Yani hapo ni sawa na kusema "Ukimuondoa kaka yangu, mimi ndiye kaka mkubwa kwetu".

Hapo umekubali kwamba wewe si kaka mkubwa kwenu.

Kwa maandishi hayo, je, unakubali au unakataa kwamba kuna kaka mkubwa kwetu? Kwa nini?
 
You missed the point totally.

Umekubali kwamba hapo umekubali kuwa wewe si kaka mkubwa kwenu?

Nikikubali kuna kaka mkubwa kwenu, utakubali ana chanzo?
 
Sijakosa hoja.

Usilete longolongo, jibu hoja yangu ( post # 255). Kubali au kataa.
 
Unaweza kuanza wewe kukubali kwamba umekubali chanzo si lazima?

Huyo kaka yako mimi nakubali inawezekana akawepo, si ajabu, lakini ana chanzo.

Mungu wako ana chanzo?
 
Hii imeandikwa wapi kwenye Biblia au ni mawazo yako tu.
 
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.

Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona Mungu hata Musa mwenyewe.

~ Andiko la Yoh 17:3 lina maana gani? Ikiwa Yesu ni Mungu?

~ Methali 8:30 ina maanisha nini?

~ Mwanzo 1:26 Mungu alikuwa akizungumza na nani?

Ningependa kupata majibu ya maandiko, jibu hoja kwa andiko ili tuamini unachosema. Maandiko yapo mengi sana yanayo tifautisha Mungu, Yesu na roho/nguvu ya Mungu ya utendaji.
KAMA HUAMINI TAFUTA IMANI UTAKAYO AMINI, UKIAMUA HATA USIWE NA DINI KATI YA HIZI MBILI
 
Back
Top Bottom