Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Usifananishe zilipendwa na huo ujinga wa kiba
 
Nenda YouTube ujue nyimbo ipi iliikimbiza nyenzie,kuwa na data,usiandke vya kuambiwa
 
Binafsi Nlishaacha kuhudhuri Show za Hawa vijana wa Bongo Fleva

Unalipa Laki 4 yako,
Unakuja kusikilizishwa mziki wa kwenye CD.

Sharobaro juu ya steji haimbi wala nini.
Anachezesha tu MIDOMO

BORA NILIPIE TU BENDI ZA DANSI AU SEBENE NIKAONE MAUNO YA KINSHASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show ilikua nzuri na yenye kuvutia tulio enda tulitamani awe anafanya mara kwa mara

Ila tulikua group tukijadili baada ya show kumalizika kuwa angekuwa anaalika wasanii wengi ili wajionee live band inavyotakiwa kufanywa


Mofaya ni nzuri na ya kipekee hii kwa upande wangu kwakuwa kila mtu anapenda kinywaji chake

Nilifurahi kumwona uwoya japo anakinzana na picha zake za mtandaoni

Ova..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapend umombasa ebooooh shauri yako
 
Kwaiyo unataka kusema kwenye meza ya watu nane kila mmoja analipia laki nne nne!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…