Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Sasa si ndo watu 8 per eachWewe ndo unasema 50@ bt posterz zinasema 4k kwa vip kaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si ndo watu 8 per eachWewe ndo unasema 50@ bt posterz zinasema 4k kwa vip kaka.
Usifananishe zilipendwa na huo ujinga wa kibaHahahah
Hahahahahahaaaa na seduce ilipotoka mlisema mbaya na bwana cha matusi akapost kicheko kwenye insta yake kisha akatoa nyimbo ina watu kumi sijui wana mawigi hahahahaaaaa wakakimbizwa hadi wakasema poooh ndo mkajua kumbe nyimbo nzuriiiiii so sishangai next tym utasema nyimbo yake nzuri Ilikuwa "KADOGO"
Za nchini ya carpet wanasema mofaya ni poisonSiwezi kwenda kwenye show mkuu, Mimi nafurahia mziki nyumbani. Kweli nahitaji kuonja hiki kinywaji, haijulikani lini kitaanza kuuzwa.
vip waliupaform vizurinimeupenda sana wimbo wa ''mwambie sina'' wa King Kiba
Wanaimba Kama wanapasuka matako ebooh shenzi typeTatizo mnakosea sanaa kuchAnganya radha ya music wa wasafi na king music... Hapo kuna midundiko ya nigeria.. na bongo l fleva... Lazima ujue kutofautisha... Hapo unajipembua wapi unataka uwe
Sent using Jamii Forums mobile app
vip waliupaform vizuri
Nenda YouTube ujue nyimbo ipi iliikimbiza nyenzie,kuwa na data,usiandke vya kuambiwaHahahah
Hahahahahahaaaa na seduce ilipotoka mlisema mbaya na bwana cha matusi akapost kicheko kwenye insta yake kisha akatoa nyimbo ina watu kumi sijui wana mawigi hahahahaaaaa wakakimbizwa hadi wakasema poooh ndo mkajua kumbe nyimbo nzuriiiiii so sishangai next tym utasema nyimbo yake nzuri Ilikuwa "KADOGO"
Wewe ndo unasema 50@ bt posterz zinasema 4k kwa vip kaka.
Unapend umombasa ebooooh shauri yakoBinafsi Nlishaacha kuhudhuri Show za Hawa vijana wa Bongo Fleva
Unalipa Laki 4 yako,
Unakuja kusikilizishwa mziki wa kwenye CD.
Sharobaro juu ya steji haimbi wala nini.
Anachezesha tu MIDOMO
BORA NILIPIE TU BENDI ZA DANSI AU SEBENE NIKAONE MAUNO YA KINSHASA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo unataka kusema kwenye meza ya watu nane kila mmoja analipia laki nne nne!!??Ww unaleta hesabu zako ambazo hazijatajwa mahali popote imeandikwa vip kwa meza ya watu 8 ni 400000/= na si Lazima muende 8 mfano ukaenda peke yako na ukabook hiyo meza utalipia 50?..mkihitaj watu watatu je?..elewa Ulichoambiwa usijitie ujuzi mwiiiiiingi afu ukapuyanga
Hesabu zako ww kaka me nakwambia kilichoandikwa.Unajuwa hesabu? Poster hiyo hiyo si inataja laki 4 kwa meza ya watu nane... UBISHI WA KITOTO HUO KIONGOZI
Vipi BADO UNAHITAJI MREJESHO KAKA?Kwa hiyo itabidi mke na mume walipe laki8 siyo?
...okey naomba baada ya show ulete mrejesho hapa!
poa amber rutty sorryPlaygirl bibi We matako tu.
Na ukaja kukoment kwenye ujinga why usimute? This is king kiba aka PASUA KICHWAHamna kitu hapo kwani kuna msanii au ujinga tu
KIBA FEVER....Playgirl bibi We matako tu.
Amezeeeka miaka 38 so haba
Huna hoja ... OVAHesabu zako ww kaka me nakwambia kilichoandikwa.
Nyooookoooo ilibidi mvae mawigi ili kuifukuzia shenzi midume 6sijui na dada Yao juuu kisa seduce atawaua.Usifananishe zilipendwa na huo ujinga wa kiba