Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Funga mwaka na KING KIBA VIP 400,000/=(laki nne)

Hahahah

Hahahahahahaaaa na seduce ilipotoka mlisema mbaya na bwana cha matusi akapost kicheko kwenye insta yake kisha akatoa nyimbo ina watu kumi sijui wana mawigi hahahahaaaaa wakakimbizwa hadi wakasema poooh ndo mkajua kumbe nyimbo nzuriiiiii so sishangai next tym utasema nyimbo yake nzuri Ilikuwa "KADOGO"
Usifananishe zilipendwa na huo ujinga wa kiba
 
Hahahah

Hahahahahahaaaa na seduce ilipotoka mlisema mbaya na bwana cha matusi akapost kicheko kwenye insta yake kisha akatoa nyimbo ina watu kumi sijui wana mawigi hahahahaaaaa wakakimbizwa hadi wakasema poooh ndo mkajua kumbe nyimbo nzuriiiiii so sishangai next tym utasema nyimbo yake nzuri Ilikuwa "KADOGO"
Nenda YouTube ujue nyimbo ipi iliikimbiza nyenzie,kuwa na data,usiandke vya kuambiwa
 
Binafsi Nlishaacha kuhudhuri Show za Hawa vijana wa Bongo Fleva

Unalipa Laki 4 yako,
Unakuja kusikilizishwa mziki wa kwenye CD.

Sharobaro juu ya steji haimbi wala nini.
Anachezesha tu MIDOMO

BORA NILIPIE TU BENDI ZA DANSI AU SEBENE NIKAONE MAUNO YA KINSHASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show ilikua nzuri na yenye kuvutia tulio enda tulitamani awe anafanya mara kwa mara

Ila tulikua group tukijadili baada ya show kumalizika kuwa angekuwa anaalika wasanii wengi ili wajionee live band inavyotakiwa kufanywa

Mofaya ni nzuri na ya kipekee hii kwa upande wangu kwakuwa kila mtu anapenda kinywaji chake

Nilifurahi kumwona uwoya japo anakinzana na picha zake za mtandaoni

Ova..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Nlishaacha kuhudhuri Show za Hawa vijana wa Bongo Fleva

Unalipa Laki 4 yako,
Unakuja kusikilizishwa mziki wa kwenye CD.

Sharobaro juu ya steji haimbi wala nini.
Anachezesha tu MIDOMO

BORA NILIPIE TU BENDI ZA DANSI AU SEBENE NIKAONE MAUNO YA KINSHASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapend umombasa ebooooh shauri yako
 
Ww unaleta hesabu zako ambazo hazijatajwa mahali popote imeandikwa vip kwa meza ya watu 8 ni 400000/= na si Lazima muende 8 mfano ukaenda peke yako na ukabook hiyo meza utalipia 50?..mkihitaj watu watatu je?..elewa Ulichoambiwa usijitie ujuzi mwiiiiiingi afu ukapuyanga
Kwaiyo unataka kusema kwenye meza ya watu nane kila mmoja analipia laki nne nne!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom