Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Uzushi na uongo hujionyesha hata kama hupendi. Kama unakataa angalia vizuri maandishi yako utaamini ninachokisema.1. Magufuli ndiye rais mnafiki kuliki wote kuwahi kutokea Tanzania. Tena afadhali wenzake walijua kufanya unafiki kijanja, yeye alifanya unafiki kijinga. Alivunja katiba aliyoapa kuitetea, waziwazi.
2. Kashirikiana na mabeberu kajibaraguza kuwabana kwenye makenika, watu wakapiga hedabu za kila mtu kupata Noah yake, kumbe mwishoni akapozwa kama mtoto mdogo.
3. Hakuna rais aliyeeahi kuruhusu ndoa za jinsia moja Tanzania. Na Makinda alivyowasakama mashiga, Waziri wa Serikali ya Tanzania Dr. Mahiga alimuimbea msamaha bila Magufuli kukataza hilo.
Hivyo jifunze kuandika kwanza halafu mengine yaendelee.