Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hahahaha alileta ubahili wa kipare hajui mwanamke matunzo au akishindwa atasaidiwa mpige milio mitatu kwa heshima 😅😆Napoteaje aisee wakati nipo fungate ngorongoro na jamaa nimemtumia picha za kutosha za breakfast 🥞 za leo Leo.
Yan Hadi hii fungate iishe lazima jamaa atapotea humu mazima
Ungewezaje kukaa na mwanaume kutwa michambo kama lokole si upumbavuu huo inabidi ufunge mtaa kwa kumwacha na kumpiga milio huyu mtibeli sjui babeliNdo mana nikampiga chini, Kila wakati yupo bize na kusimanga wanawawake, aisee atasubiri sana kupata mtu kama Mimi.
Mburaaaaaaaa na hajaanza kuwasema kwahiyo akafunga safari na ukamkazia ***** 😆 ndiyo maana kuna mtu alimwambia huku arudi FezibukuAisee , unakumbuka mwaka Jana ulivyokuja Arusha , ukaniomba sana nisikuache, ulivoondoka TU unajua Nini kiliendelea Mzee?
Nani Kwa mfano ,? Nafuata Nini? Ule ubahili au Ile pili pili mbuzi?Na usimuonjeshe tena 😹
Kipenzi chetu 😌 tuwekee screenshot ufute tutafukuzwa kazi hatuna efidenzi 😅 cc leo dadaUtasubiri sana Babu,nikukumbuke Kwa lipi haswa, Kwa ubahili huo au ? Unataka niweke yale mapungufu Yako mengine hapa ili uhame jf Mazima?
Halafu Cha kushangaza badala ajikaze ananitumia text WhatsApp za kuniomba msamaha kuwa yaishe huku jf . Wakati kanitambia kuwa anakuja kunianziashia Uzi jf wa kunichafua.ila kachafuka yeyeNasemajeeee
Nasemajeeee
Bushmamy nna ticket yako ya kwa Fally tar 28 twende ukajipongeze..!!
Wanawake wengine muige sasa sio mnadhalilishwa mnakaa kama mazombie mnalialia..!! 😹😹😹
Sasa nilimwabia akaushe yeye akayaleta humu ,alitegemea mie nikae tu kimyaAisee miye nilijua utani kumbe mtu kachezea kibuti.
Yaani ile pilipili ile mbuziiiiii siyo mwendo kasi kbs mamaaa weeeee nafwaaaa
Ujumbe ni ule uleNtapewa life Ban na jf, ila huyo mwanaume mwenzenu mwambieni akipigwa chini akubali sio anakuja kuanziaha taaarabu huku
Fungate kama fainali kwenye mpira, team zote zinatakiwa ziwe na mbinu za uchezaji ili apatikane wa kukaa kileleni..!!Wewe kama sio bikra kaa kwa utulivu, fungate tunaenda na wenye papa sealed🤣
Mahi mimi sijawahi kujihusisha na huyu kijana pls sio vitu vyangu tuLeo dada naye lilikua goma lako? 😹😹
Usisahau kuitaja na hiyo pili pili mbuzi uliyokuwa nayoFungate gani?
Huyo demu wako aliyekuwa jamvi la mtaa leo ndio unasema unaenda kula naye Fungate. Hivi unaelewa unachokisema?
Fungate ipo kwa mwanamke uliyemkuta bikira. Kigali, mwari. Mtoto mbichi kabisa. Huyo ndiye analiwa fungate.
Sasa je?Lamony anapenda mituringa iguse kuta za kitumbuani
Hiyo pilipili kichaa ikiingia ulikua unatoa hata mlio kweli mahi? 😹Nani Kwa mfano ,? Nafuata Nini? Ule ubahili au Ile pili pili mbuzi?
Mtibeliiiiiiii hakuna kuacha ndala, huko WhatsApp utoke..Halafu Cha kushangaza badala ajikaze ananitumia text WhatsApp za kuniomba msamaha kuwa yaishe huku jf . Wakati kanitambia kuwa anakuja kunianziashia Uzi jf wa kunichafua.ila kachafuka yeye