Funguka kitugani hutakuja kukisahau katika maisha yako

Sintosahau ulivyonisababisha nikafunga safari kuja Dar, nikalipia hotel halafu eti ukaniambia umeolewa na mme wako yuko nyumbani, nauli ya taxi ukala.

Nikarudi Mwanza bila kukuona.

Hahahaaaaa poolee sanaa.. tatizo unapenda free nyap sana.
 
Hata mimi.

Ndiyo Maana Kumbe Tunapendana nifah. Sasa Kwa Wale Wasiojua Mazuri Ya Nyota Ya Aries ( Kondoo ) Watafute Kisha Wataona Ni Kwanini Ram Riders Wengi WAMEBARIKIWA Hata Na Mwenyezi Mungu. Nifah Wewe Ringa Tu Dada Kwani Hii Nyota Yetu IMETUKUKA Na Ndiyo Nyota KIONGOZI Ktk Zote Na Tuna NGUVU KUBWA SANA YA Ki MUNGU. Nimefurahi KULIKOTUKUKA Kujua Kumbe Na Wewe Pia Ni Ram Rider Mwenzangu. Safi Sana The Queen Of POPOMA!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahaa hapo ndipo ulipoharibu sasa kubwa la mapopoma.
Halafu kingine ulichosahau ni kwamba tuna nyota ya kupendwa sana,na umaarufu juu.
Chezea sisi wewe?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaa hapo ndipo ulipoharibu sasa kubwa la mapopoma.
Halafu kingine ulichosahau ni kwamba tuna nyota ya kupendwa sana,na umaarufu juu.
Chezea sisi wewe?

Hapo Uliposema " Tuna NYOTA Ya Kupendwa Sana Na Umaarufu Juu " Umepatia KULIKOTUKUKA Dada Kwani Ni Ukweli Mtupu 100%. Chezea Ram Riders Wewe! Nashukuru Mwenyezi Mungu Kuwa Na Nyota Ya KONDOO / PUNDA ( Aries ) Kwani INAAKISI UHALISIA MZIMA Wa Gentamycine. Jamani Na Nyie Wengine Ambao Hamna Hii Nyota Basi Jitahidi Watoto Wenu Mtakaowazaa Waangukie Ktk Nyota Hii Nzuri Na Yenye Nguvu Ya Ki Mungu Pia.
 

Hahahahahaaa watatukomaje?
Ndio uache ule upopoma wako basi,unatuaibisha wenzako wenye nyota ya Punda.
Sisi ni UKAWA tu.
 
Ni siku ambayo Baba yangu alifariki 2008 kwa kweli sitasahau katu Ni pigo had Leo maisha yangu yalibadilika tokea hapo ILA nashukuru mungu Ni mipango yakee na maisha yanasonga
 
madame pole sana pia nivizuri kumshukuru mungu kwa kila jambo ambalo linatokea kwa maana yy ndiyo kila kitu katika maisha yetu
 
Last edited by a moderator:
Sitosahau yule mwanaume alivyonilaghai huku akijua kabisa ananidanganya
 
Nlisingiziwa kitu mwaka 2000 nkiwa std 5 nilishasamehe ila nashindwa kusahau, mwaka huu tena nmesingiziwa kitu kinaniuma sana sana nashindwa kusahau sijui kama nitasahau

pole sana inabidi umuombe mungu akuepushe katika hayo Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
nilivyoumwa nikiwa form5 mpaka nikawa siendi class nalala tu dormitory. Ikafika hatua nikamwomba Mungu anipumzishe tu mateso yaishe na ikitokea sijafa nilipanga nijinyonge kwa kamba ya bendera ya shuleni. Niliwaza mambo mengi lakini Mungu mwema mpaka leo nipo naishi.
 
Pale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.

Hujafa hujaumbika.
 
Pale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.
Unaliwa nyoro wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…