Sintosahau ulivyonisababisha nikafunga safari kuja Dar, nikalipia hotel halafu eti ukaniambia umeolewa na mme wako yuko nyumbani, nauli ya taxi ukala.
Nikarudi Mwanza bila kukuona.
Hahahaaaaa poolee sanaa.. tatizo unapenda free nyap sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sintosahau ulivyonisababisha nikafunga safari kuja Dar, nikalipia hotel halafu eti ukaniambia umeolewa na mme wako yuko nyumbani, nauli ya taxi ukala.
Nikarudi Mwanza bila kukuona.
Hata mimi.
Ndiyo Maana Kumbe Tunapendana nifah. Sasa Kwa Wale Wasiojua Mazuri Ya Nyota Ya Aries ( Kondoo ) Watafute Kisha Wataona Ni Kwanini Ram Riders Wengi WAMEBARIKIWA Hata Na Mwenyezi Mungu. Nifah Wewe Ringa Tu Dada Kwani Hii Nyota Yetu IMETUKUKA Na Ndiyo Nyota KIONGOZI Ktk Zote Na Tuna NGUVU KUBWA SANA YA Ki MUNGU. Nimefurahi KULIKOTUKUKA Kujua Kumbe Na Wewe Pia Ni Ram Rider Mwenzangu. Safi Sana The Queen Of POPOMA!
Hahahahahahaa hapo ndipo ulipoharibu sasa kubwa la mapopoma.
Halafu kingine ulichosahau ni kwamba tuna nyota ya kupendwa sana,na umaarufu juu.
Chezea sisi wewe?
Hapo Uliposema " Tuna NYOTA Ya Kupendwa Sana Na Umaarufu Juu " Umepatia KULIKOTUKUKA Dada Kwani Ni Ukweli Mtupu 100%. Chezea Ram Riders Wewe! Nashukuru Mwenyezi Mungu Kuwa Na Nyota Ya KONDOO / PUNDA ( Aries ) Kwani INAAKISI UHALISIA MZIMA Wa Gentamycine. Jamani Na Nyie Wengine Ambao Hamna Hii Nyota Basi Jitahidi Watoto Wenu Mtakaowazaa Waangukie Ktk Nyota Hii Nzuri Na Yenye Nguvu Ya Ki Mungu Pia.
Sitosahau yule mwanaume alivyonilaghai huku akijua kabisa ananidanganya
Pole sana.
Sijapoa nataka nitafuta manati ya mzungu roho yangu ndo itatulia
mpaka uipate anaweza akawa ameama mji tayar
Yupo kwenye rada yangu hawezi kuhama bila mimi kujua
Nlisingiziwa kitu mwaka 2000 nkiwa std 5 nilishasamehe ila nashindwa kusahau, mwaka huu tena nmesingiziwa kitu kinaniuma sana sana nashindwa kusahau sijui kama nitasahau
pole sana inabidi umuombe mungu akuepushe katika hayo Evelyn Salt
Pale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.
Unaliwa nyoro wewePale Nilipomwona " Live " Mgombea Urais Mmoja AKIJISAIDIA HAJA ZOTE Za KIBINADAMU Ktk Mkutano Wake Wa Hadhara Mkoani GEITA. Hakika Sitalisahau Hili Tukio Kwani LIMENISIKITISHA Na KUNISONONESHA Mno Kama Siyo Sana.