Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Kwanzaa wengine midume umu wanatumia picha na majina ya wanawake
 
He hee halafu hakunijibu

We kui hebu jibu swali langu bana usigeuze mambo
Mmh labda nikaonje tena huko usukumani


Ndo nakusubiri ufike, kuna wakina bibi wa kisukuma hapa wako tayari kukueleza vizuri, uanze na ku practice kupiga goti mpaka chini usije shangaza wasukuma bure maana nyie hamnaga mambo ya kupiga goti. 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…