Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Ndo nakusubiri ufike, kuna wakina bibi wa kisukuma hapa wako tayari kukueleza vizuri, uanze na ku practice kupiga goti mpaka chini usije shangaza wasukuma bure maana nyie hamnaga mambo ya kupiga goti. 🙂
Sasa hapo kwenye kupiga goti ni mtihani mwingine wifi yangu
 
Reactions: kui
Sasa hapa itabidi Kiranga anichukue tukaishi US niepuke hayo mambo ya magoti jamani
 
Reactions: kui
Sasa hapa itabidi Kiranga anichukue tukaishi US niepuke hayo mambo ya magoti jamani
Vale sie Wasukuma wa US magoti is optional, ila ukienda nyumbani Mwanza kuna wazee hawajui hilo itabidi ujifunze tu.

Huko ukisikia "Ong'wanike kotuja, tujaga mayooo" ujue mzee anadai kupigiwa magoti.
 
Ha haa wazee wa nyumbani itabidi tuwasalimie kwa Skype jamani...

Vinginevo basi unifundishage mwenzio mume nakutaka ila hayo magoti sasa mwenzangu
 
Reactions: kui
Sasa hapo kwenye kupiga goti ni mtihani mwingine wifi yangu
Bado unalipiga sasa?

Itabidi ujifunze tu wifi hakuna njia, mie nita volunteer kukufunza lakini jiandae miguu kuuma siku za mwanzo cos kwenda chini na kuinuka ni zoezi tosh.

Mie bado nalipiga, mpaka wakati mwingine najisahau napigia mpaka watu wasiojua hata maana...lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…