Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Ndo nakusubiri ufike, kuna wakina bibi wa kisukuma hapa wako tayari kukueleza vizuri, uanze na ku practice kupiga goti mpaka chini usije shangaza wasukuma bure maana nyie hamnaga mambo ya kupiga goti. 🙂
Sasa hapo kwenye kupiga goti ni mtihani mwingine wifi yangu
 
  • Thanks
Reactions: kui
Tehe! 😀😀😀😀😀

Jamani atoto usimtishe buana, halafu sijui ataweza kweli, unajua magoti ya kisukuma ni yale ya kwenda mpaka chini kabisa karibu uguse floor. Sasa mchaga huyu itabidi aanze kujifunza sarakasi kabsa!

CC Valentina
Sasa hapa itabidi Kiranga anichukue tukaishi US niepuke hayo mambo ya magoti jamani
 
  • Thanks
Reactions: kui
Sasa hapa itabidi Kiranga anichukue tukaishi US niepuke hayo mambo ya magoti jamani
Vale sie Wasukuma wa US magoti is optional, ila ukienda nyumbani Mwanza kuna wazee hawajui hilo itabidi ujifunze tu.

Huko ukisikia "Ong'wanike kotuja, tujaga mayooo" ujue mzee anadai kupigiwa magoti.
 
Ha haa wazee wa nyumbani itabidi tuwasalimie kwa Skype jamani...

Vinginevo basi unifundishage mwenzio mume nakutaka ila hayo magoti sasa mwenzangu
 
  • Thanks
Reactions: kui
Sasa hapo kwenye kupiga goti ni mtihani mwingine wifi yangu
Bado unalipiga sasa?

Itabidi ujifunze tu wifi hakuna njia, mie nita volunteer kukufunza lakini jiandae miguu kuuma siku za mwanzo cos kwenda chini na kuinuka ni zoezi tosh.

Mie bado nalipiga, mpaka wakati mwingine najisahau napigia mpaka watu wasiojua hata maana...lol
 
Back
Top Bottom