Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Sasa hapo kwenye kupiga goti ni mtihani mwingine wifi yanguNdo nakusubiri ufike, kuna wakina bibi wa kisukuma hapa wako tayari kukueleza vizuri, uanze na ku practice kupiga goti mpaka chini usije shangaza wasukuma bure maana nyie hamnaga mambo ya kupiga goti. 🙂