Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Ni kweli kuna wanawake baadhi humu wanahitaji shout out kama hizi
 
itakuwa ni wewe tu, nakuombea uangukie mikono salama, mwanaume ambaye ataithamini thamani yako kama bado.
 
sasa niwe na moyo gani mzito wa kuyavumilia haya?

siwezi kuwapiga, kuwakataza, wala kuwazuia kumpenda

Kwenu huyu ni msichana mwema na mrembo tu ila kwangu mimi ni zaidi ya hayo na
zaidi isiyoelezeka[emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…