Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Ni kweli kuna wanawake baadhi humu wanahitaji shout out kama hizi
 
Jamani nakupenda pia, mtani wake eli

[emoji85] [emoji85]

hizo sifa za michelle mmmh. I appreciate though [emoji120] [emoji120]

hahhaa sasa mbona umeconclude kabisa, na wakati ulitakiwa tu kutabiri lol

Hahaha aah aggyjay buana, kiboko ya nini sasa uwiii

Mmh I hope sio mie, kutamaniwa na mume wa mtu jamani Mmh
itakuwa ni wewe tu, nakuombea uangukie mikono salama, mwanaume ambaye ataithamini thamani yako kama bado.
 
sasa niwe na moyo gani mzito wa kuyavumilia haya?

siwezi kuwapiga, kuwakataza, wala kuwazuia kumpenda

Kwenu huyu ni msichana mwema na mrembo tu ila kwangu mimi ni zaidi ya hayo na
zaidi isiyoelezeka[emoji22]
 
Back
Top Bottom