Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7][emoji7][emoji7]Hongera sana kwa Heaven Sent, Nifah na Atoto, mnapendwa sana, kwahiyo hata mimi nawapenda
Gudy gudddddyyyyy.Exactly!
Love u 2 Masunga Maziku !Darling dat one is for u and says all I need to say about us and how I feel and yes it made me glad too, powerful but true words... I luv u so very very much [emoji253] [emoji253]
One love brodHongera sana kwa Heaven Sent, Nifah na Atoto, mnapendwa sana, kwahiyo hata mimi nawapenda
Sasa wewe mbona unabadilika kulingana na wakati? au kujieleza ni mushkeri?....point yako ilikuwa nini?Ulicho kisema hapo ni kweli kwahusika hizo issue.
Nafikili hata na wewe hukunielewa nilikuwa naamanisha nini. wazo langu ni tofauti kabisa na hilo usemalo ndugu.
Alafu sory mimi sio KE kama unavo dhani mkuu.
Nakupenda mmMimi je hakuna anayenipenda????
HahahahahhaahahahahKuna wanaume wenzetu wanatumia ID zenye majina ya kike humu na wao wanapendwa hahaha
Nakupenda pia...Patience123, huyu mtani wangu ananikosha sana![emoji125] [emoji125] [emoji85]
Word!!BTW kama unajikubali mwenyewe inatosha!
Mkuu kwa hizi fake IDs....huenda mtu akawa anataja female ID ya Baba mkwe...wacha niendelee kutizama mtifuano.Word!!
Ha ha ha...Mkuu kwa hizi fake IDs....huenda mtu akawa anataja female ID ya Baba mkwe...wacha niendelee kutizama mtifuano.
Inabidi twende 'next level' sasa!!Nakupenda pia...
Mkaka mzuri..
Hahahaaaaa!!! Kwakweli na uwe tu mchochezi!Siamini kama sijatajwa hata na mmoja sasa nyie ambao mnanijipendekeza PM na maneno teletele nawapa 24hrs msipokuja hapa na Screen shot naleta majina yenu hapa!! Kumbe wanaume ni waongo hivyo🙁🙁🙁🙁🙁 NA NIWE TU MCHOCHEZI HAINA NENO!!
Kajina fulani hivi amazingIlibidi akuite nn sasa...