Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Funguka mwanamke unaempenda humu JamiiForums

Kuna wanaume wenzetu wanatumia ID zenye majina ya kike humu na wao wanapendwa hahaha
 
Darling dat one is for u and says all I need to say about us and how I feel and yes it made me glad too, powerful but true words... I luv u so very very much [emoji253] [emoji253]
Love u 2 Masunga Maziku !
 
Ulicho kisema hapo ni kweli kwahusika hizo issue.
Nafikili hata na wewe hukunielewa nilikuwa naamanisha nini. wazo langu ni tofauti kabisa na hilo usemalo ndugu.
Alafu sory mimi sio KE kama unavo dhani mkuu.
Sasa wewe mbona unabadilika kulingana na wakati? au kujieleza ni mushkeri?....point yako ilikuwa nini?
 
🙁
🙁🙁🙁🙁

Acha mimi nikakutaje kulee kwenye ile thread nyingine..[/QUOTE]
🙁
 
Siamini kama sijatajwa hata na mmoja sasa nyie ambao mnanijipendekeza PM na maneno teletele nawapa 24hrs msipokuja hapa na Screen shot naleta majina yenu hapa!! Kumbe wanaume ni waongo hivyo🙁🙁🙁🙁🙁 NA NIWE TU MCHOCHEZI HAINA NENO!!
 
Hahahaaaaa!!! Kwakweli na uwe tu mchochezi!
 
Back
Top Bottom