Funguka: Tangu uanze kutongoza/kutongozwa hapa JF, umefanikiwa mara ngapi?

Huhuhuh...! Sawa mjukuu wa malkia, english kwangu sawa na kisukuma au kichagga. Haina ata radha. Wanao kunana wasiwashwe wewe umewashwa wapi bila kukunwa..!

Pishia mbali usijenitafutia ban..
Usisingizie English.

Wewe hata Kiswahili hujui.

Ndiyo maana hujui kwamba neno sahihi ni"ladha" na si "radha".

Don't make me dress you down.I don't do it, I overdo it.

So much for so called Sophist.
 
Sifa ya beberu kiarufu sasa wewe mdada mdada unuke uchi utakimbiwa mpk ushangae.
Wewe zizi la nguruwe unalijua yaani mie huwa sitoi maneno ya shombo hivyo huo uchi unaosema naomba uishie hapohapo yawezekana hujaenda jando wewe
 
Usisingizie English.

Wewe hata Kiswahili hujui.

Ndiyo maana hujui kwamba neno sahihi ni"ladha" na si "radha".

So much for so called Sophist.
Too childish to expose my competency on simple matter like that brother..!
 
Nilishawahi det na Dada moja alikua maarufu Sana humu miaka 2010-14 chotara wa kichaga sijui na mjerumani unapoanza kuchat kabla ya kuonana huwa speed sana na hamu ya kila mtu kumwona mwenzie mkishaonana story kwishney zinaweza pita week mbili bila hata salaam ajabu utamuona akichangia na wewe unachangia tu had mnapotezeana
 
Pia watu wa humu ukionana nao ni tofauti na fb sababu hawa humu wengi ni invisible person anapojidhirisha Kama ulikua mtu wa kutoa shit nyingi humu lazima uwe na wasiwasi usijetua mikononi mwa kamanda C-Law
 
Si ajabu huwa wanatongozana wanaume kwa wanaume bila kujijua kama kukimbiza mwizi gizani unaweza kimbizana baba na mwana mnajikuta mnakimbilia nyumba moja
hahaha haswaa
 
Mi kuna kipindi nilikuwa natafuta mke, nikaona bandiko humu nikaenda PM tulichat hadi tukaonana, Mtoto alikuwa bomba sana (mwarabu wa Tanga), sikutaka chochote zaidi ya kuitaji hawe mke wangu.

Tulifuata taratibu zote kuoana, tukapanga tarehe ya ndoa lakini zikiwa zimebaki wiki mbili ndoa ipite ikatokea sintofaham upande wa familia yake uchumba ukavunjika, nikaambulia maumivu makali ya moyo.

Ingawa baada ya tukio ilo mrembo bado alihitaji tuwe wote lakini mimi nikarudi nyuma sababu chanzo cha uchumba kuvunjika ilikuwa ni mrembo mwenyewe.
 
Pole mkuu!
 
Hii ndiyo ya kigumu msipopatana inapotezea simple..!
 
Huwa ni inferiority mkuu, umuone anajua vingi na sharp minded kumbe hivyo huwa havipimwi kwa kupiga kelele.
Napenda msichana awe calm then asiwe mbishi sna.
Like it
 
Ni kweli mkuu,mimi huwa napenda mtu tunaongea naye kwa awamu na sio wewe tu ndio mwanzisha mada na muongeaji mwanzo mwisho tunaon
Ni bora tungeshtakiwa MIGA kuliko kipigo tulichopata. Madai ya sh. 425 trilioni tuje kulipwa 673 bilioni!? Yaani hata trilioni moja haifiki! Na zile Noah zetu je?
Tufikili kwa kina,ulitengemwa kulipwa tirion 300 halafu unalipwa pesa ambayo hata thelusi haifiki harafu unashabikia kuwa ni ushindi.. Tunatambua kazi aliyoifanya lakini bado

Huwa ni inferiority mkuu, umuone anajua vingi na sharp minded kumbe hivyo huwa havipimwi kwa kupiga kelele.
Napenda msichana awe calm then asiwe mbishi sna.
Like it
 
Hao wengine wanakuwa wanausalama, usikubali kumtumia picha yako mtu ambaye humjui atleast tuma ya mtu mwengine yeye akituma ya kwake ndo na ww utume ya kwako og
 
HHAHA MIMII MPAKA DAKIKA HII MUPENZI WANGU YUPO JF ANANILA KUNI MEGA NA KUNIMEGUA HAHAHA NAZURURA NAYE MAGHARIBI NA MASHARIKI NA SINA MPANGO WA KUMUACHA ZAIDI NIMLOGE NIWE NYUMBANDOGO YA KUDUMU KIKIKI..................... NISHAAAMBIWA NIPELEKE NYWELE ZA KILA KONA YA MWILI WAKE NDO NAMVIZIA AKIJISAHAU TU KAUMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…