Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Usisingizie English.Huhuhuh...! Sawa mjukuu wa malkia, english kwangu sawa na kisukuma au kichagga. Haina ata radha. Wanao kunana wasiwashwe wewe umewashwa wapi bila kukunwa..!
Pishia mbali usijenitafutia ban..
Wewe hata Kiswahili hujui.
Ndiyo maana hujui kwamba neno sahihi ni"ladha" na si "radha".
Don't make me dress you down.I don't do it, I overdo it.
So much for so called Sophist.