Wewe ni mchaga ambaye ni ke? ili tupate uzoefu kutoka kwako.....mimi nina experience na mmoja ambaye alishindwa......ndo maana nikashangaa mdau mwingine humu JF alivyo comment kwamba hawawezi hiyo style pendwa kwa wanaume tulio wengi..nyie ndio mnakunwa na akina Mushi mnaanza kulia lia hapa, umeso a nlicho andika, unafikiri hili jukwaa ni lakwanza A? kwamba ukiuliza moja na moja uambiwe ni mbili?
shule kumbe hazijafunguliwa, okay.Wewe ni mchaga ambaye ni ke? ili tupate uzoefu kutoka kwako.....mimi nina experience na mmoja ambaye alishindwa......ndo maana nikashangaa mdau mwingine humu JF alivyo comment kwamba hawawezi hiyo style pendwa kwa wanaume tulio wengi..
Tanguliza tu na wewe mkuu,hao ng'ombe au Dragon ili yadumu...Mbona wachina na wajapani na wahindi wanatanguliza Ng'ombe [emoji230].... Dragon [emoji236]etc na yanadumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tall and whiteUnamjua yupi[emoji23]
HataaTall and white
PoaHataa
Niliwah kuachwa na mrombo asee bila kosa lolote. Eti kwao amekatazwa kuoa pengine. Ingekuwa Leo ningemletea petrol [emoji1787][emoji1787]
Basi yaishe dada yangu...shule kumbe hazijafunguliwa, okay.
Hahaa! Humohumo kwenye utani utani utani watu wanakulana kimasikhara mkuu!! Lol mi simchomi najivua gamba tu hata awe milionea vipi namuacha si mchana kweupe bali asubuhi na mapemaaa!!Tatizo mnakariri! Ndoa si kuwa unamiliki mali za mwenzako. Ndoa ni kuwa kila mtu ana majukumu yake na anayatekeleza ipasavyo. Ndoa ya kukusanya kila kitu pahala pamoja huwa haidumu bwashee. Mfano yeye ana ndugu zake na wewe una wako, si rahisi kuwaunganisha.
Kumbuka kuna majukumu ya msingi ya baba mfano, kuhakikisha familia ina pahala pa kulala, kuhakikisha familia ina usafiri etc. Na mama anahakikisha jiko halinuni ili familia ipate cha kuweka tumboni. Mshahara wake ni wake na wako ni wako, usitake kujua bank ana kiasi gani na na nani kampa pesa. Maisha yanasonga bila matatizo. Mkichanganya hela na kesho akaona sms katika simu yako kutoka kwa mahondaw hata kama ni ya utani. Utachomeka si kwa petrol ni kwa mafuta ya taa bwashee
Una uhakika wewe huchomi, maana tumeanza kuwaogopaHahaa! Humohumo kwenye utani utani utani watu wanakulana kimasikhara mkuu!! Lol mi simchomi najivua gamba tu hata awe milionea vipi namuacha si mchana kweupe bali asubuhi na mapemaaa!!
Walaaa! Mi najivua gamba kiroho safiiUna uhakika wewe huchomi, maana tumeanza kuwaogopa
Wewe unadhani kujivua gamba rahisi kama unavyolitamka kipenzi! Investment inauma zaidi na ndiyo maana mtu kama Neema anakimbilia petroleum.Walaaa! Mi najivua gamba kiroho safii
Sijafikia huko aisee mi ukinzengua na viwanawake nakuambia ukiendelea si nakuacha! Tena unioneshee kabisa uuwii hata sifikirii mara mbili,,Wewe unadhani kujivua gamba rahisi kama unavyolitamka kipenzi! Investment inauma zaidi na ndiyo maana mtu kama Neema anakimbilia petroleum.
Acha wivu wewe na wenzio wasitiriwe.....Sijafikia huko aisee mi ukinzengua na viwanawake nakuambia ukiendelea si nakuacha! Tena unioneshee kabisa uuwii hata sifikirii mara mbili,,
Kwanza lazima ujiulize kama wewe hujawahi kufanya na pili ume invest kiasi gani. Investment ninayosema si ecomomical bali hata sociallySijafikia huko aisee mi ukinzengua na viwanawake nakuambia ukiendelea si nakuacha! Tena unioneshee kabisa uuwii hata sifikirii mara mbili,,
Asisahau tu familia yakeEeh anataka mashosti zake nae wakuheshimu so anamwagika tu! Nina kijan a wangu mmoja amepangiwa apartment mikocheni na amepewa Harrier tako la nyani kazi ni moja tu kumstarehesha mama na sometimes anasafiri nae! Mwamba anamenya sana yani huku macho matatu huku S21 ultra. Sema jamaa sio marioo pro max,,,ana mke na watoto kawaacha mkoa yeye anapiga kazi mjini hapa town kaofisi kamoja ya serikali ila maslahi madogo compared na maisha anayoishi sasa!
Jamaa anawaka kipesa ye anakula bia tu kwenye bag lake la laptop hakosi M na upuuzi ya kutumia tu! Mwendo wa lemba tu jamaa anapiga mashine tu maisha yanaenda yani. Bi mkubwa ana hela kingese huyo ambaye jamaa anaweka!
MnoooGire kama Gire.... Huu mwezi ni wa kutulia sana, kuna roho ya mauti inarandaranda mtaani aseeeh
Acha wivu wewe na wenzio wasitiriwe.....
True love comes with jealous in it they say. Sinaga msalie mtume when it comes to Love. Choose between her n me ukijifanya mjanja mjanja I choose to leave you.Acha wivu wewe na wenzio wasitiriwe.....