Tatizo mnakariri! Ndoa si kuwa unamiliki mali za mwenzako. Ndoa ni kuwa kila mtu ana majukumu yake na anayatekeleza ipasavyo. Ndoa ya kukusanya kila kitu pahala pamoja huwa haidumu bwashee. Mfano yeye ana ndugu zake na wewe una wako, si rahisi kuwaunganisha.
Kumbuka kuna majukumu ya msingi ya baba mfano, kuhakikisha familia ina pahala pa kulala, kuhakikisha familia ina usafiri etc. Na mama anahakikisha jiko halinuni ili familia ipate cha kuweka tumboni. Mshahara wake ni wake na wako ni wako, usitake kujua bank ana kiasi gani na na nani kampa pesa. Maisha yanasonga bila matatizo. Mkichanganya hela na kesho akaona sms katika simu yako kutoka kwa
mahondaw hata kama ni ya utani. Utachomeka si kwa petrol ni kwa mafuta ya taa bwashee