Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

nyie ndio mnakunwa na akina Mushi mnaanza kulia lia hapa, umeso a nlicho andika, unafikiri hili jukwaa ni lakwanza A? kwamba ukiuliza moja na moja uambiwe ni mbili?
Wewe ni mchaga ambaye ni ke? ili tupate uzoefu kutoka kwako.....mimi nina experience na mmoja ambaye alishindwa......ndo maana nikashangaa mdau mwingine humu JF alivyo comment kwamba hawawezi hiyo style pendwa kwa wanaume tulio wengi..
 
Wewe ni mchaga ambaye ni ke? ili tupate uzoefu kutoka kwako.....mimi nina experience na mmoja ambaye alishindwa......ndo maana nikashangaa mdau mwingine humu JF alivyo comment kwamba hawawezi hiyo style pendwa kwa wanaume tulio wengi..
shule kumbe hazijafunguliwa, okay.
 
Mbona wachina na wajapani na wahindi wanatanguliza Ng'ombe [emoji230].... Dragon [emoji236]etc na yanadumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanguliza tu na wewe mkuu,hao ng'ombe au Dragon ili yadumu...
 
Tatizo mnakariri! Ndoa si kuwa unamiliki mali za mwenzako. Ndoa ni kuwa kila mtu ana majukumu yake na anayatekeleza ipasavyo. Ndoa ya kukusanya kila kitu pahala pamoja huwa haidumu bwashee. Mfano yeye ana ndugu zake na wewe una wako, si rahisi kuwaunganisha.

Kumbuka kuna majukumu ya msingi ya baba mfano, kuhakikisha familia ina pahala pa kulala, kuhakikisha familia ina usafiri etc. Na mama anahakikisha jiko halinuni ili familia ipate cha kuweka tumboni. Mshahara wake ni wake na wako ni wako, usitake kujua bank ana kiasi gani na na nani kampa pesa. Maisha yanasonga bila matatizo. Mkichanganya hela na kesho akaona sms katika simu yako kutoka kwa mahondaw hata kama ni ya utani. Utachomeka si kwa petrol ni kwa mafuta ya taa bwashee
Hahaa! Humohumo kwenye utani utani utani watu wanakulana kimasikhara mkuu!! Lol mi simchomi najivua gamba tu hata awe milionea vipi namuacha si mchana kweupe bali asubuhi na mapemaaa!!
 
Wewe unadhani kujivua gamba rahisi kama unavyolitamka kipenzi! Investment inauma zaidi na ndiyo maana mtu kama Neema anakimbilia petroleum.
Sijafikia huko aisee mi ukinzengua na viwanawake nakuambia ukiendelea si nakuacha! Tena unioneshee kabisa uuwii hata sifikirii mara mbili,,
 
Sijafikia huko aisee mi ukinzengua na viwanawake nakuambia ukiendelea si nakuacha! Tena unioneshee kabisa uuwii hata sifikirii mara mbili,,
Kwanza lazima ujiulize kama wewe hujawahi kufanya na pili ume invest kiasi gani. Investment ninayosema si ecomomical bali hata socially
 
Eeh anataka mashosti zake nae wakuheshimu so anamwagika tu! Nina kijan a wangu mmoja amepangiwa apartment mikocheni na amepewa Harrier tako la nyani kazi ni moja tu kumstarehesha mama na sometimes anasafiri nae! Mwamba anamenya sana yani huku macho matatu huku S21 ultra. Sema jamaa sio marioo pro max,,,ana mke na watoto kawaacha mkoa yeye anapiga kazi mjini hapa town kaofisi kamoja ya serikali ila maslahi madogo compared na maisha anayoishi sasa!

Jamaa anawaka kipesa ye anakula bia tu kwenye bag lake la laptop hakosi M na upuuzi ya kutumia tu! Mwendo wa lemba tu jamaa anapiga mashine tu maisha yanaenda yani. Bi mkubwa ana hela kingese huyo ambaye jamaa anaweka!
Asisahau tu familia yake
 
Back
Top Bottom