una mchumba wa machame! mpalestina!!!!!!!!!!! aisee!Mi ndugu zangu kwa upande wa baba wameoa Wachaga na sasa hadi wana Wajukuu mkuu.
Mimi mwenyewe nina mchumba mchaga wa Machame. Very humble and God-fearing....kuna siku nitamleta humu JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heheheheh mwamba hii kama TATEPA flani sema freshi [emoji28][emoji28][emoji28]tunaishi nayo
Atakoma. Kabila langu mwanamume akikutamkia kuwa sikutaki tunafundishwa tukae mbali nae, mapenzi hayalazimishwi Kwanza ni tusi kubwa mwanamume kukutumia na kwenda kuoa mwingine halafu uingie kwenye mapambano ya kulazimishwa kupendwa Sisi tumefundishwa kumshukuru MUNGU na kusonga mbele.Zungu matatizo yake yamekwisha na ya grace ndo yameanza mkuu
Kuna kisa kimoja Shinyanga yaani mama alisubiri mpaka hela ya kustaafu ya Baba imeingia Kwa account akamletea majambazi mchana kweupee, kijana aliingia chumbani kwake kimyakimya mara baada ya mama kuhakikisha hamna MTU zaidi yake na Mzee, chumba cha kijana kiko karibu na sebuleni na nyumba haikuwa na ceiling, Baada ya watu kuua wakamwambia mama tupe chetu akawacash Ile wanaondoka anaanza kulia kuomba msaada. Kijana akajichanganya baadae akaongoza Polisi. Mchaga huyo.Kuna mmoja amemuua mama yake afu akamtoa na macho.jamaa ni nusu wanyama.
Na
Mama D umehamia huku ,hutaki siasa NOWADAYSKama mtu haeleweki achana nae
Haya mambo ya kulazimishana mapenzi hadi kufikia kuuana ni ya kishamba na kishetani
Mungu atupe macho na masikio ya ndani kuelewa sehemu zisizotufaa
Mama D umehamia huku ,hutaki siasa NOWADAYS
USSR
Bi mkubwa mlokole,naanza wapi kumwambia?kesi iliisha kihuni tu.Hahahahah hapo kweli patamu, kwahio ukamsusia mazigo na gharama za kumtunza kwa biti kuwa utamwaga tope akizingua af ukawa unaimega kisela bila bi mkubwa kujua 😅😅😅
Umeona wapi. Ama mihemko tu mkuukumbe ulitaka umkubalie
Ukiangalia mchaga ambaye Hana hela huwa Hana mazoea na ndugu zao Mana hawanaga utu kwa mtu asiye na pesa.Kuna kisa kimoja Shinyanga yaani mama alisubiri mpaka hela ya kustaafu ya Baba imeingia Kwa account akamletea majambazi mchana kweupee, kijana aliingia chumbani kwake kimyakimya mara baada ya mama kuhakikisha hamna MTU zaidi yake na Mzee, chumba cha kijana kiko karibu na sebuleni na nyumba haikuwa na ceiling, Baada ya watu kuua wakamwambia mama tupe chetu akawacash Ile wanaondoka anaanza kulia kuomba msaada. Kijana akajichanganya baadae akaongoza Polisi. Mchaga huyo.
Kuna kisa kimoja Shinyanga yaani mama alisubiri mpaka hela ya kustaafu ya Baba imeingia Kwa account akamletea majambazi mchana kweupee, kijana aliingia chumbani kwake kimyakimya mara baada ya mama kuhakikisha hamna MTU zaidi yake na Mzee, chumba cha kijana kiko karibu na sebuleni na nyumba haikuwa na ceiling, Baada ya watu kuua wakamwambia mama tupe chetu akawacash Ile wanaondoka anaanza kulia kuomba msaada. Kijana akajichanganya baadae akaongoza Polisi. Mchaga huyo.
Wewe mwanaume ukiwa Malaya kwa mkeo wa ndoa jiandae kutangulia kuzimu in graces voice [emoji23][emoji23][emoji23]Ukiangalia mchaga ambaye Hana hela huwa Hana mazoea na ndugu zao Mana hawanaga utu kwa mtu asiye na pesa.
Marafiki zake na ndugu zake wanakuwaga ni watanzania Ila sio akina hao. Mana kule ukiwa hauna kitu hauthaminiwi. Utatumwa na mdogo wako utamnawisha mikono.
Mchaga ni wa kuchepuka naye ama unamzalisha unamuachia watt analea wewe unakaa mbali.
Kuna mmachame Fulani ivi akajenga mke wake hajui anadai akijua tu anamuua.
Pia wasiokula chakula Cha wake zao ni wengi Sana.
Pale USA river akina mama wenye wa kichaga ni wengi mno akina baba hawapo wameshapumzishwa mapema.
Mchaga hanaga urafiki wa bure na mtu kabisa.yaani ukiona akajisogeza kwako basi Kuna potential ameiona kwake awe me or ke
Is way of killing competition wenzenu wanaolewa kila siku,mrabaki mnanganga machoHuwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa😄😄😄😄😄😄
Duh umeniita mie nimeshindikana duniani na ahera mwenzako
Kama mchumba wako mmachame subiri zamu yako,hautoboi miaka 50Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.
Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha kwenu.
Biblia inasema, "Upendo una nguvu sawa sawa na kifo" Si vyema kucheza na hisia za watu.
Kama mtu humupendi kwanini umdanganye?
Zungu amepokea mshahara wake aliositahili. Bado wewe unae-cheat sijui utapokea lini.
NB: Msianze kuhusisha kabila la mtu na upumbavu wake. Mambo hayo ni ya kizamani sana. Mimi Nebuchadinezzer nina mchumba mmoja tu tena Mchaga wa Machame. "She is very humble, beautiful and God-fearing.
Kama una mpango na demu wako, mwambie mwanzo kabisa sio kumfanya dada wa watu anawekeza kwako halafu mwisho wa siku, faida anakula mtu mwingine.
Poleni sana wafiwa.
PIA SOMA
Maskini wa mwili na roho huzungumzaga hivi siku zote[emoji23]Ukiangalia mchaga ambaye Hana hela huwa Hana mazoea na ndugu zao Mana hawanaga utu kwa mtu asiye na pesa.
Marafiki zake na ndugu zake wanakuwaga ni watanzania Ila sio akina hao. Mana kule ukiwa hauna kitu hauthaminiwi. Utatumwa na mdogo wako utamnawisha mikono.
Mchaga ni wa kuchepuka naye ama unamzalisha unamuachia watt analea wewe unakaa mbali.
Kuna mmachame Fulani ivi akajenga mke wake hajui anadai akijua tu anamuua.
Pia wasiokula chakula Cha wake zao ni wengi Sana.
Pale USA river akina mama wenye wa kichaga ni wengi mno akina baba hawapo wameshapumzishwa mapema.
Mchaga hanaga urafiki wa bure na mtu kabisa.yaani ukiona akajisogeza kwako basi Kuna potential ameiona kwake awe me or ke