Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

Huwezi kumtetea Neema, Neema ni mchaga. Wachaga sio watu wazuri. Na kama ndugu yako ameoa mchaga mwambie aendelee kupumulia mashine. Siku zake zinahesabiwa😄😄😄😄😄😄
Mi mchaga sasa halafu nakupenda kinyama yani. Ile kinoma noma. Mkuu wa makampuni ni mtu mimi ati
 
Ujumbe, vijana waache kudanga.

Kuna kijana aiashi makumbusho hapo, ana subaru impreza na forester. Anadanga kupita maelezo. Ni ana mademu kama wote. Yaan haya yote anayomiliki ni kutokea mifukoni mwa wanawake anaowarubuni. Chalii yangu kiama chako chajaa[emoji23][emoji23] na anajisifiaga balaaa anawadanga. Iko siku
Sasa mbona unaninyooshea kidole. Niache bhana wewe si ulikataa
 
Mshamba atu wanaume tupo wengi sana angekuja kwangu ngemtuliza mahasira yake
 
Huyo mdada kavurugwa hasa na huyo marioo mwenye getto lake hapo makumbusho.......tumwombee asije kwenda na kidumu sheli...
Ila wanaume wanayoyafanya bas tyuuu, mie mwenyew ishawahu nikuta sitasahau kabisa ktk maisha yangu, naishia kumuomba Jah uvumilivu vingnevyo ingekua historia nyingne.
 
Gire kama Gire.... Huu mwezi ni wa kutulia sana, kuna roho ya mauti inarandaranda mtaani aseeeh
 
Ila wanaume wanayoyafanya bas tyuuu, mie mwenyew ishawahu nikuta sitasahau kabisa ktk maisha yangu, naishia kumuomba Jah uvumilivu vingnevyo ingekua historia nyingne.
Na wewe ulitaka kupiga petroli, ile roho ya kufuatiliwa na shetani kama kule bustani ya Eden haijawatoka.....
 
Na wewe ulitaka kupiga petroli, ile roho ya kufuatiliwa na shetani kama kule bustani ya Eden haijawatoka.....
Wala hata ila bas tyuuh, acha niwe mpole but nshapona now maumivu nasonga mbele tyuuu
 
Mapenzi/mahusiano/ndoa yoyote ile,bila ya kumtanguliza Mungu usitegemee muujiza...
Mbona wachina na wajapani na wahindi wanatanguliza Ng'ombe [emoji230].... Dragon [emoji236]etc na yanadumu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haijalishi ila huyo mwanamke hakustahili kuwa mke. Kwa roho hio, jamaa aliona mbali bora mauti kuliko mwanamke huyo.
 
Back
Top Bottom