Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

Wewe maamuma huna hulijuwalo, yule Mkwele hakuwa na uwezo wa kuwa pale, Urais alipewa na wanamtamdao Mwenyekiti wa mtandao akiwa bingwa wa mikakati Lowasa.
Hivi Jk angempambania mwenzake angepungukiwa nini?

Duniani Mambo yote ni ubatili tu, kwenye misiba km hivi ndio unaona Duniani hakuna haja ya kubaniana,yote yanapita tu
 

Siyo lazima utajwe hadharani ndiyo utaonekana kwamba uliisaidia familia. Wengine hawapendi sifa za hivyo.
 
As long as sijawahi kuskia scandal ya kingono au kimahusiano nje ya ndoa yake kuhusu Hayati Mh. Lowassa basi he got a super clean sheet from my side[emoji8] maana huo ndo upumbavu namba moja wa Wanaume wengi wa karne hii except my father of course and my husbae[emoji847]
 
haina maana wala haja yeyote kumsifia JK, hakwenda pale kusifiwa na wasio na imani....

amemsindikiza rafiki yake kwenye nyumba yake ya milele, imetosha...


R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Tulia wewe tusijesema ya Ufuska akiwa bado ananguvu. R.iP Mwamba wa Kaskazini halisi

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Hivi nyie mambwiga mliskiliza salam za shukran kwa niaba ya ukoo kutoka kwa Fred pale karimjee? Mbona alimtaja kwa heshma zote hamkuskiliza? Kilichotokea kwny richmond ni ajali ya kisiasa tu! Na kuhusu jina lake kukatwa 2015 yale hayakua maamuzi ya mzee Kikwete peke yake, kamati ya viongozi wa ngazi za juu wastaafu wakiongozwa na mzee Mkapa ndio ilioongoza kamati kuu kuengua jina la Lowasa kwny mbio za uraisi na kuhusu Lowasa na uraisi alishakataliwa tangu enzi za mwalim Nyerere mwaka 1995 haijaanza 2015! Mzee wetu Kikwete hana hatia kwenye agenda zote mbili nataman aandike kitabu juu ya maisha yake kufunua hili fumbo lisiloaminika kwa wengi!
 
He was a family guy.
 

Attachments

  • CSbi0iYXAAAaUNs.jpeg
    105.2 KB · Views: 2

Weeh!!! Itakua umezaliwa juzi!! Mbona alizaa na mdogo wa mke wake yaani shemeji yake
 
Tanzania ina wajinga kila tukio wanatumia kisiasa eti mtu analalamika kwa nn hawakutajwa chama chao 😅😅 halafu ndio awe Raisi?

Hizo shutuma hata familia ya Lowasa wanashangaa kwa sababu amekufa akiwa CCM na hakuna ugomvi wowote ule.
 
Tanzania ina wajinga kila tukio wanatumia kisiasa eti mtu analalamika kwa nn hawakutajwa chama chao [emoji28][emoji28] halafu ndio awe Raisi?

Hizo shutuma hata familia ya Lowasa wanashangaa kwa sababu amekufa akiwa CCM na hakuna ugomvi wowote ule.

Kuna watu wanawenge sana mbona kwny msiba wa Membe ACT hawakulalamika?
 
Nimemuona Global TV akipasua kicheko katikati ya huzuni
 
Hata angeandika historia yake mwenyewe lazima msomaju angepangiwa aya za kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…