Aacha watu waongee usiwazibe midomo wakiongea yakaisha wataacha.Mtu kashakufa haina haja ya kuleta mengine ...Huo usia utasaidia nn ? Mtu muacheni apumzike kweny msiba mnaleta siasa ....
Mh, mpaka itoke na nyama!! Walah kila kona ni spanaMtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.
Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa duniani.
Mpaka pale Statesman Freeman Mbowe alipopewa fursa kama mwanafamilia kutowa Beno kukosowa wasifu ule ambao Kwa makusudi unanificha chapter muhimu ya maisha ya Mzee Lowasa.
Sasa tuliobaki hai tujifunze katika hili, wenye uwezo wa kuandija vitabu na waandije Sasa na wasiokuwa na iwezo huo basis tutunze historian zetu Kwa kuziandija wenyewe tusisubiri kuandikiwa na wanafki.
Mwisho wa ubaya aibu, haya Mzee wa Msoga leo umejisikiaje wanafamilia wanamwaga sifa na shukrani Kwa watu mbalimbali mpaka mama Samia hawana cha kumshukuru Kwa Upendo na wema wake, wewe mswahili wa Msoga hauna sehemu umetajwa jina je unajisikiaje leo? Unafki unalipa?
Labda kuna viumbe wameumbwa bila aibu, leo ni aibu Kubwa na fedhea kutoka boys to men mpaka mwisho wa safari ya swahiba Wako hakuna sehemu familia inakutambuwa Kwa lolote tangy auguwe, hii ni aibu Kubwa.
Tujifunze kuishi vizuri na watu na Kwa uaminifu, unafki ni Mbaya sana na mwisho wa ubaya ni aibu. Aibu yao hii baba Mkwele.
Cc: Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli
Hakun haja ya kuongelea kweny misibaAacha watu waongee usiwazibe midomo wakiongea yakaisha wataacha.
Jitihada haizidi kudura, ni kweli Edo aliutaka sana Urais, lakini haikua kadari yake,yaani Mungu hakumpangia kua Rais wa Tanzania, lazima tukubali hilo!!Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.
Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa duniani.
Mpaka pale Statesman Freeman Mbowe alipopewa fursa kama mwanafamilia kutowa Beno kukosowa wasifu ule ambao Kwa makusudi unanificha chapter muhimu ya maisha ya Mzee Lowasa.
Sasa tuliobaki hai tujifunze katika hili, wenye uwezo wa kuandija vitabu na waandije Sasa na wasiokuwa na iwezo huo basis tutunze historian zetu Kwa kuziandija wenyewe tusisubiri kuandikiwa na wanafki.
Mwisho wa ubaya aibu, haya Mzee wa Msoga leo umejisikiaje wanafamilia wanamwaga sifa na shukrani Kwa watu mbalimbali mpaka mama Samia hawana cha kumshukuru Kwa Upendo na wema wake, wewe mswahili wa Msoga hauna sehemu umetajwa jina je unajisikiaje leo? Unafki unalipa?
Labda kuna viumbe wameumbwa bila aibu, leo ni aibu Kubwa na fedhea kutoka boys to men mpaka mwisho wa safari ya swahiba Wako hakuna sehemu familia inakutambuwa Kwa lolote tangy auguwe, hii ni aibu Kubwa.
Tujifunze kuishi vizuri na watu na Kwa uaminifu, unafki ni Mbaya sana na mwisho wa ubaya ni aibu. Aibu yao hii baba Mkwele.
Cc: Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli
Tusaidie tusioelewa mkuuUnaelewa chochote kuhusu state burial?
Maana usinipotezee muda bure.
Kaanzishe Uzi wake.Weeh!!! Itakua umezaliwa juzi!! Mbona alizaa na mdogo wa mke wake yaani shemeji yake
Mi ni mdada ila napingana na wwSijui kwanini nikisikia mwanamke mmasai nadhani ni mgumu wa sura maana kiukweli kukuta mdada wa kimasai mrembo ni nadra sana.
Hata wamasai nao wanafiki, wameshindwa kusema Lowassa aliwahi kuwa mgombea UraisMasai hatuna unafiki, ukweli ndio sifa yetu.
Mnafiki wa Msoga kadhalilika kama alivyomfanya dhalili mpendwa wetu.
Kwa nimfahamuvyo mkwere hio haijaisha atahakikisha kizazi chake hakifanikiwi on gov mpk anaondoka only if atataka kuwamaliza Kwa kuwaweka karibu na kuwapa madaraka iliwajisahau kumbuka huyu mtu ni usalama/mwanajeshiMasai hatuna unafiki, ukweli ndio sifa yetu.
Mnafiki wa Msoga kadhalilika kama alivyomfanya dhalili mpendwa wetu.
Hivi kwanini Lowassa asingeanza kwanza yeye kugombea Urais halafu awamu inayofuata ndo iwe ya JK?Wewe maamuma huna hulijuwalo, yule Mkwele hakuwa na uwezo wa kuwa pale, Urais alipewa na wanamtamdao Mwenyekiti wa mtandao akiwa bingwa wa mikakati Lowasa.
unajua shida kwako na watu wenye akili kama zako,kwani jk asipotajwa na watoto wa marehemu inamnyima raha hipi,hawezi kula? hawezi kunya? hawezi kupumua? hawezi kujamiiana na kewe? kwamba hatalipwa mafao yako? then what shubamiti! atajwe asitajwe jk yupo palepale na sikia hulazimishi udugu wala urafiki.kipi jk alimfanyia lowassa cha ajabu,eti alimsaliti,kwahiyo jk ndio alikuwa anawapa watu uraisi,pumba tupuMtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.
Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa duniani.
Mpaka pale Statesman Freeman Mbowe alipopewa fursa kama mwanafamilia kutowa Beno kukosowa wasifu ule ambao Kwa makusudi unanificha chapter muhimu ya maisha ya Mzee Lowasa.
Sasa tuliobaki hai tujifunze katika hili, wenye uwezo wa kuandija vitabu na waandije Sasa na wasiokuwa na iwezo huo basis tutunze historian zetu Kwa kuziandija wenyewe tusisubiri kuandikiwa na wanafki.
Mwisho wa ubaya aibu, haya Mzee wa Msoga leo umejisikiaje wanafamilia wanamwaga sifa na shukrani Kwa watu mbalimbali mpaka mama Samia hawana cha kumshukuru Kwa Upendo na wema wake, wewe mswahili wa Msoga hauna sehemu umetajwa jina je unajisikiaje leo? Unafki unalipa?
Labda kuna viumbe wameumbwa bila aibu, leo ni aibu Kubwa na fedhea kutoka boys to men mpaka mwisho wa safari ya swahiba Wako hakuna sehemu familia inakutambuwa Kwa lolote tangy auguwe, hii ni aibu Kubwa.
Tujifunze kuishi vizuri na watu na Kwa uaminifu, unafki ni Mbaya sana na mwisho wa ubaya ni aibu. Aibu yao hii baba Mkwele.
Cc: Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli
kadhalilika vipi?Masai hatuna unafiki, ukweli ndio sifa yetu.
Mnafiki wa Msoga kadhalilika kama alivyomfanya dhalili mpendwa wetu.
hivi asipotajwa atakufa? kwaninlazima atajwe?Mwisho wa ubaya aibu, haya Mzee wa Msoga leo umejisikiaje wanafamilia wanamwaga sofa na shukrani Kwa watu mbalimbali mpaka mama Samia hawana cha kumshukuru Kwa Upendo na wema wake, we we mswahili wa Msoga hauna sehemu umetajwa jina je unajisikiaje leo? Unafki unalipa?
Bifu linazidi kukua[emoji848][emoji2827]
hiyo ni juu yao,labda uwaziri mkuu aliununuaNilishangaa sana. Hata kumshukuru kwa kumpa uwaziri mkuu uliomfanya apate mazishi ya namna Ile hamna
ndio alikuwa na huo uwezo lakini alimpaHuyo Kikwete, si alikuwa na uwezo wa kutompa hata huo uwaziri mkuu baada ya kukikalia kiti cha u-Rais?
we unajuaje mambo yao ya ndaniHivi Jk angempambania mwenzake angepungukiwa nini?
Duniani Mambo yote ni ubatili tu, kwenye misiba km hivi ndio unaona Duniani hakuna haja ya kubaniana,yote yanapita tu
Kuchangia kudhulumu urais ambao alishinda kupitia chadema hilo ndiyo kosaKwani JK kosa lake ni lipi?! Kutompa kugombea u Rais au kuna jingine?!!
Watu wengine bhana. Mzee wa msoga awe na aibu gani? Unajua loyalty inatakiwa hata kwa magenge ya wauza madawa na magenge mengine ya kihalifu? Kwa hivyo unapompima mzee wa msoga na kuona ni msaliti jiulize alisaliti nini na kwa faida gani.Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.