Jamaa alikuwa smart sana skill ya kuongea na watu alikuwa nayoMajuzi nilikuwa nasikiliza speech zake alipokuwa waziri wa maji na PM alikuwa na nguvu sana ya kuongea ila baadaye hakawa hana uwezo wa kuongea. Kweli stress zilimuatahiri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikuwa smart sana skill ya kuongea na watu alikuwa nayoMajuzi nilikuwa nasikiliza speech zake alipokuwa waziri wa maji na PM alikuwa na nguvu sana ya kuongea ila baadaye hakawa hana uwezo wa kuongea. Kweli stress zilimuatahiri sana.
Hahahaha, mkuu umewaza Kama nilivyokuwa nawaza. Nadhani kutoka 2005 kwenda 2015 ndiyo ulikuwa wakati sahihi wa Lowasa kugombea uraisi kwakuwa alikuwa Yuko strong Sana na hata kuzungumza alikuwa anazungumza vizuri.Hivi kwanini Lowassa asingeanza kwanza yeye kugombea Urais halafu awamu inayofuata ndo iwe ya JK?
Upumbavu ni kipaji,kuna kitu kinaitwa "succession plan".Hakuna cha mikakati wala nini. Ni dola tu ya ccm iliwezesha haya yote. Hiyo mikakati mbona ilikwama ccm na hata alipokuja chadema?.
Haya mambo ni above your discretion levels.. JK ni mwamba licha ya madhaifu yake yote bado alifanya uamuzi bora sana wa kumkataa rafiki yake kisa tu ushkaji mkakae kugawana taifa la watanzania kama vile nyama choma mkiwa kaunta bar. Jakaya Mungu azidi kukuweka japo mimi sio mshabkki wako.
Nifah kumbe wewe ni Mama yoyoo ndiyo maana mzuri [emoji176][emoji180]Masai hatuna unafiki, ukweli ndio sifa yetu.
Mnafiki wa Msoga kadhalilika kama alivyomfanya dhalili mpendwa wetu.
Nakala kwa Batilda Bu___ni. 😅As long as sijawahi kuskia scandal ya kingono au kimahusiano nje ya ndoa yake kuhusu Hayati Mh. Lowassa basi he got a super clean sheet from my side[emoji8] maana huo ndo upumbavu namba moja wa Wanaume wengi wa karne hii except my father of course and my husbae[emoji847]
Umeongea kinyume? By urembo unamaanisha nini? Kwa ujumla wanawake wa kimasai ni wazuri wa asili.Sijui kwanini nikisikia mwanamke mmasai nadhani ni mgumu wa sura maana kiukweli kukuta mdada wa kimasai mrembo ni nadra sana.
Ukweli ni kama upembe wa ng'ombe, huwezi kuuficha. Unajitahidi kuukataa ukweli, lakini ni ukweli kwamba Msiba wa Lowassa umevunja heshima ya JK kwa sehemu kubwa sana.Sure man.
No one to bleach JK honor and respect as long as his friendship with Lowasa is concerned.
The guy is straight innocent. Wanaoshabikia hili ni kushadadia tu mambo kwa pupa zao za wengi wape, kwamba wengi wanaongea nini bas na wao wanashika njia huko huko
Unatumia kiungo gani kufikiri? JK ni mwanamtandao, na dhambi ya usaliti wa JK alianza kulipishwa na Magufuli Kwa kumnyoosha takataka zote za Msoga zilipigwa chini, na Magufuli angekuwa hai sahau kuhusu Ridhiwani Kikwete kuwa waziri.Hivi Watanzania mlikuwa serious kweli Lowasa awe Rais?
Katika jambo la Kishujaa alilofanya JK na kuiokoa nchi ni kufanikisha Lowasa na Wana mtandao kutokamata nchi hii
Lowasa ndio alikuwa bingwa wa mikakati, unapokuwa king maker hauna pressure ya kutangulia kwenye jahazi, unaingiza kwanza raia Wako.Hivi kwanini Lowassa asingeanza kwanza yeye kugombea Urais halafu awamu inayofuata ndo iwe ya JK?