Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

Majuzi nilikuwa nasikiliza speech zake alipokuwa waziri wa maji na PM alikuwa na nguvu sana ya kuongea ila baadaye hakawa hana uwezo wa kuongea. Kweli stress zilimuatahiri sana.
Jamaa alikuwa smart sana skill ya kuongea na watu alikuwa nayo
 
Hivi kwanini Lowassa asingeanza kwanza yeye kugombea Urais halafu awamu inayofuata ndo iwe ya JK?
Hahahaha, mkuu umewaza Kama nilivyokuwa nawaza. Nadhani kutoka 2005 kwenda 2015 ndiyo ulikuwa wakati sahihi wa Lowasa kugombea uraisi kwakuwa alikuwa Yuko strong Sana na hata kuzungumza alikuwa anazungumza vizuri.
Inawezekana labda walikubaliana na mkwele agombee mkwele then after 10 years agombee yeye, but hii ni dhana tu , huenda labda ilikuwa au haikuwa hivyo.

Lakini Kuna ishu moja ilivuma Sana kipindi kile Cha 2008 kuelekea 2010, ishu ya One Term Plan. Yaan ilisemekana Ngoyai alikuwa anafanya hujuma za chini kwa chini kutaka kumwangusha mkwele ili atawale kipindi kimoja, huenda picha lilianzia hapa, hii nayo ni dhana.

Ila inaonekana mkwele na Ngoyai wenyewe ndiyo wanaufahamu ukweli.
 
Hakuna cha mikakati wala nini. Ni dola tu ya ccm iliwezesha haya yote. Hiyo mikakati mbona ilikwama ccm na hata alipokuja chadema?.
Haya mambo ni above your discretion levels.. JK ni mwamba licha ya madhaifu yake yote bado alifanya uamuzi bora sana wa kumkataa rafiki yake kisa tu ushkaji mkakae kugawana taifa la watanzania kama vile nyama choma mkiwa kaunta bar. Jakaya Mungu azidi kukuweka japo mimi sio mshabkki wako.
Upumbavu ni kipaji,kuna kitu kinaitwa "succession plan".
Unakijua!!??

Kama u mfanyabiashara, mwanasiasa au mtumwa wa kuridhia (ajira ni utumwa wa kuridhia), bila succession plan, katu hiyo taasisi, kampuni, kiwanda,jimbo au taifa, halitaendelea.

Mimi binafsi baba yangu alinitengeneza kurithi na kuendeleza biashara zake na ndio maana nimaendeleza mafanikio yake maradufu, japokuwa naye alikuwa mtumwa wa kuridhia kwenye nyadhifa kubwa huko CCM na serikalini.
 
Masai hatuna unafiki, ukweli ndio sifa yetu.
Mnafiki wa Msoga kadhalilika kama alivyomfanya dhalili mpendwa wetu.
Nifah kumbe wewe ni Mama yoyoo ndiyo maana mzuri [emoji176][emoji180]
 
As long as sijawahi kuskia scandal ya kingono au kimahusiano nje ya ndoa yake kuhusu Hayati Mh. Lowassa basi he got a super clean sheet from my side[emoji8] maana huo ndo upumbavu namba moja wa Wanaume wengi wa karne hii except my father of course and my husbae[emoji847]
Nakala kwa Batilda Bu___ni. 😅

Just appreciate your Husbae sis, ya Masai yaache kama yalivyo.
 
Sijui kwanini nikisikia mwanamke mmasai nadhani ni mgumu wa sura maana kiukweli kukuta mdada wa kimasai mrembo ni nadra sana.
Umeongea kinyume? By urembo unamaanisha nini? Kwa ujumla wanawake wa kimasai ni wazuri wa asili.
 
Hivi Watanzania mlikuwa serious kweli Lowasa awe Rais?

Katika jambo la Kishujaa alilofanya JK na kuiokoa nchi ni kufanikisha Lowasa na Wana mtandao kutokamata nchi hii
 
Sure man.
No one to bleach JK honor and respect as long as his friendship with Lowasa is concerned.

The guy is straight innocent. Wanaoshabikia hili ni kushadadia tu mambo kwa pupa zao za wengi wape, kwamba wengi wanaongea nini bas na wao wanashika njia huko huko
Ukweli ni kama upembe wa ng'ombe, huwezi kuuficha. Unajitahidi kuukataa ukweli, lakini ni ukweli kwamba Msiba wa Lowassa umevunja heshima ya JK kwa sehemu kubwa sana.
 
Hivi Watanzania mlikuwa serious kweli Lowasa awe Rais?

Katika jambo la Kishujaa alilofanya JK na kuiokoa nchi ni kufanikisha Lowasa na Wana mtandao kutokamata nchi hii
Unatumia kiungo gani kufikiri? JK ni mwanamtandao, na dhambi ya usaliti wa JK alianza kulipishwa na Magufuli Kwa kumnyoosha takataka zote za Msoga zilipigwa chini, na Magufuli angekuwa hai sahau kuhusu Ridhiwani Kikwete kuwa waziri.
 
Hivi kwanini Lowassa asingeanza kwanza yeye kugombea Urais halafu awamu inayofuata ndo iwe ya JK?
Lowasa ndio alikuwa bingwa wa mikakati, unapokuwa king maker hauna pressure ya kutangulia kwenye jahazi, unaingiza kwanza raia Wako.

Lowasa ndiye alisimamia kuhakikisha Samuel Sitta anashinda uspika, mchuwano ulikuwa ni mkali sana Lowasa alisambaza jina la Samuel Dodoma nzima jina likawa kura ni Kwa Six yani Sitta, kila unayekutana naye unaambiwa ni Six, Six, Six.

Ndio maana issue ya Richmond Lowasa ilimuuma sana kwani alianza kusalitiwa na spika Sitta ambaye ni Lowasa ndiye aliongoza kampeni za kumuweka madarakani, lakini za ndani kabisa Sitta alikuwa anautaka Uwaziri mkuu Kabla hawajampooza kumpa uspika.

Ndio maana Lowasa kwenye speech yake alisema anajuwa tatizo ni uwaziri mkuu, let me grant their wish, hili lilikuwa ni dingo direct Kwa Samuel Sitta na ndio maana Lowasa alipojiuzuru bungeni Samuel Sitta akapigwa na butwaa na yeye kama spika akaomba muongozo, hakuna aliyetegemea kama Lowasa anaweza kuachia ngazi.

Samuel Sitta alikuwa na uwezo wa kumlinda mshirika mwenzao Lowasa Kwa kutounda Kamati ya Mwakyembe na hata ilipoundwa alikuwa na uwezo wa kuzuia report isisomwe na Jk alikuwa na uwezo wa kuneutralise mambo, lakini hamna, ni ukweli mtupu Lowasa alisalitiwa na washirika wake na ndio maana baadaye hata Kingmaker himself Rostam Aziz aliamuwa kuachana na Siasa uchwara Kwa kuachia ngazi.

Kama tunaiba tuibe wote usnitch haufai, ndio hawa kina JK wote majizi baadaye yanajichenga yaonekane waadilifu wakati si kweli.
 
Back
Top Bottom