CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
- Thread starter
- #61
Everything is published. Just read for yourself on the internet.Haiwezekani ukatupa "full description" ya tukio zima ya nini kimetokea, kwa namna gani na mwisho ukawaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Everything is published. Just read for yourself on the internet.Haiwezekani ukatupa "full description" ya tukio zima ya nini kimetokea, kwa namna gani na mwisho ukawaje?
Tanzania hakuna amani bali kunawoga uliosababishwa na ujinga. Watu wengi hawajui haki zao.Mali ni Mali na Tanzania ni Tanzania, hatuko hivyo!. Sisi ni watu piece sana!.
P
Tanzania hakuna Amani bali kuna uvumilivu ambao unaelekea mwisho.Mali ni Mali na Tanzania ni Tanzania, hatuko hivyo!. Sisi ni watu piece sana!.
P
Hakuna piece kabsaPiece!!!!!!!!![emoji3582]
Peace[emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Mkuu, huyu ameshindwa kuandika ukweli, kilichomfurumusha huyo Raisi wa Mali ni kushindwa kudhibiti ufisadi ndani ya nchi yake, Jeshi likaona haina Maana kuwa wajeda waendelee kuona wizi ukitamalaki Wakati raia wengi wa nchi hiyo wanaishi maisha ya mateso na dhiki Ili Hali Utajiri wa nchi Yao ukigawanwa na wachache
Sasa anapokuja kulinganisha na hapa, Kwa kigezo kipi mpaka aseme Eti ni Bora hata hapa kufanyike kama Mali,
Nchi inavyojengwa kiasi hicho, kila mtu anaishi Kwa nguvu zake yeye mwenyewe, na Pesa inayopatikana inaonekana inafanya vitu, mafisadi wamebanwa mbavu hawapumui, Raisi aliyepo Sio pandikizi ni Mtanzania aliyewekwa na Watanzania,
Kwanza hao mapandikizi ndio inabidi wakataliwe kote Africa Ili Africa isonge mbele
Kwetu hakuna haja ya hivyo, ni kupiga kura na kuzilinda tu, maana uchaguzi ukiwa wa haki na huru Rais Magufuli havuki.Natamani hata huku kwetyu patokee kama huko
Nimeishia hapa Kusoma, na nimegundua kuwa Huna hoja Bali unachuki?Hivi ulifurahishwa na ununuzi wa wabunge wa upinzani? Wadhani halikuwa agizo la Rais Magufuli?
Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba na sheria za nchi.
Ni bora kujiuzulu ikiwa agizo la Rais linapingana na katiba na sheria za nchi kuliko kushiriki katika uovu ambao utakuja kuwagharimu siku za usoni siku ambapo mnayemtetea mbele za watu hatokuwa na nguvu ya kuendelea kuwalinda.
Heshimuni vyama vyote vya siasa kwa mujibu wa katiba na sheria kwani leo ni CCM kesho ni CHADEMA. Dunia inakwenda kwa kasi sana na mabadiliko ya upepo wa kisiasa ni suala la siku moja tu.
KWA LEO NI HAYO TU, NAWATAKIA SIKU NJEMA

Vizazi ubadilika watz wa Jana sio wa LeoCreativityCode,
Unapoteza muda tu! Kwa akili yako unaamini Tz iko kundi la nchi kama hiyo Mali? Unaijua Mali au unadandia kila kinachojitokeza? Someni muongeze uelewa badala ya kila siku kuhangaikia whatsapp!
Ni kwa sababu wamekariri pia ni wanufaika,ongea na wa chini yao usikie mawazo yao wanawalaumu wananchi ndo wajinga wanawachelewa pa kuanzia.Serikali ya CCM haiamini kama inaweza kutokea kwa TZ ,Kuanzia DGIS ,IGP,CDF wote wanalamba miguu ya MEKO kwahiyo hawawezi kuasi maana pia wanafaidika sana na MFUMO huu.
Ecowas wapumbavu Sana Ni sawa na umoja wa afrika ndio wanayoyasopoti madikteta ili kuuwa watu wao, Kama wananchi awamtaki kiongozi wao kwann wanawalazimisha
Kupinga maamuzi ya wananchi ya kumktaa Keita,Kosa na ECOWAS ni lipi?
Kupinga maamuzi ya wananchi ya kumktaa Keita,
Hayo maandamano ya kumpinga nao 4 months ya nn Sasa Kama wanampendaWananchi wa Mali wamemchagua Keita mara mbili!!
Na huyu ana support yote ya mabeberu akiwemo mkoloni wa zamani Ufaransa na wengine kama USA.
Sasa unaposema wananchi wamemkataa unatumia vigezo vipi.
Wanajeshi wamemwondoa raisi alichaguliwa kihalali na wananchi wa Mali.
25 sio mtoto ila kapataje experience ya kuwa mkuu msaidizi wa mojawapo ya kambi kubwa zaidi katika nchi ile. Na elimu yake kasoma kwa muda gani na kivipi.Unamaanisha miaka 25 ni mtoto au? acha kuzingua mkuu
Hayo maandamano ya kumpinga nao 4 months ya nn Sasa Kama wanampenda