Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Alitawala kwa nguvu na hakuondoka mpaka Bunge limpe mshahara kwenye nchi masikini. Sasa jiulize yuko wapi leo. Hawa viongozi wetu wa Mungu watu wajue huwezi kujua kesho kitatokea nini!

Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with a luxury villa when he leaves office.

It also proposes that Mr Nkurunziza be elevated to the title of "supreme leader" when he steps down in May.


 
Tutauenzi ufalme wake kwa kupeperusha bendera nusu mlingoti kwa siku tatu...
 
Malipo ni hapahapa
 
Mkuu si Nkurunziza tu hakuna ajue kesho mimi na wewe tukiwemo,kwahiyo si jambo la kumnanga marehemu.hata ungekuwa wewe ungefanya hivyo hivyo, nimemkumbuka Kadinali pengo aliposema wale wanaosema jamaa ni fisadi wanasema hivyo sababu nao hawajapata nafasi kama ya huyo wanayemsema fisadi kwani nao wangefanya hivyo hivyo ni kuwa tu hawajapata jiyo nafasi.
 
 
Mungu pekee ndiye ajuaye kesho yetu....

Mipango tunayojipangia ni fikra na tamaa za kibinadamu, lakini hatma yetu ipo kwa Mungu wetu pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…