Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

Marehemu aliomba,hakuiba,wezi walikuwa akina Mobutu,na Abacha.
Alimuomba nani wkt yeye ni RAIS?

Yeye na madikteta wenzake wa A/Mashariki,duniani wote ni majizi tu tena yaliyopindukia.
 
Usihukumu usije ukahukumiwa......Nkurunziza kafanya mazuri yake Burundi.....Kifo ni moja ya ahadi toka kwa Mungu pengine wewe usife hata mchana huu wa leo.......Watch out.
 
Malipo ni hapahapa
Kwani kifo ni adhabu au?
Kila mtu atakufa, awe mwema au la wote njia ni moja. Kikubwa ni kujiandaa ukingali hai duniani ili uurithi uzima wa milele mbinguni katika ufalme wa Mungu baada ya maisha hapa duniani.
 
HATA WENYEVITI WA VYAMA WALIOBAKA KATIBA ZAO ILI WABAKI KUWA WENYE VITI MILELE WAJUE WATAKUFA NA UENYEKITI WATAUACHA!
 
Back
Top Bottom