Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kama Nkurunzizah angeweka mfumo mzuri wa madaraka familia yake ingekuwa na uhakika wa kupata mafao yao kwa mujibu wa sheria.Imeisha hiooooooooo,na hata wakinyimwa hawana cha kufanya.
Mtoto wa Pierre ambae ni Soldier bado ni kanyokaa sana ndio kwanza ana Nyota 2 tu,hana influence yoyote ile jeshini na ni mtoto wa mama hawezi sema ataweza kuasi wala kufanya chochote.
Mke wa Pierre asishangae akienda ikulu kwa Evariste sasa hivi akawa anaishia getini tu anaambiwa weka appointment au mzee yuko bize.