Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

Funzo: Rais Pierre Nkurunziza pesa ameziacha

Alitawala kwa nguvu na hakuondoka mpaka Bunge limpe mshahara kwenye nchi masikini. Sasa jiulize yuko wapi leo. Hawa viongozi wetu wa Mungu watu wajue huwezi kujua kesho kitatokea nini!

Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with a luxury villa when he leaves office.

It also proposes that Mr Nkurunziza be elevated to the title of "supreme leader" when he steps down in May.

View attachment 1476821
Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with a luxury villa when he leaves office.

It also proposes that Mr Nkurunziza be elevated to the title of "supreme leader" when he steps down in May.... Haya yanaweza kutimia huko mbinguni
 
Mkuu hii ramli yako kali! 😀😀
Maadam Mungu kampenda zaidi basi huenda atampa huo u supreme leader huko alikomuita!

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Mleta mada, Tafuta pesa (kwa njia halali) kwa bidii na maarifa. Usipozifaidi wewe watanufaika jamaa yako.
Kufa ni 'nature' hata masikini anakufa..ucha mawazo ya kijuha.

Huyo rais alifanya akijua atakufa pia. Wewe ndiye unaingiza hapo hisia zako za kinyonge.
Tafuta noti ikupe heshima, unaitafutaje hiyo ni jukumu lako.
 
Mkuu si Nkurunziza tu hakuna ajue kesho mimi na wewe tukiwemo,kwahiyo la kumnanga marehemu.hata ungekuwa wewe ungefanya hivyo hivyo, nimemkumbuka uy pengo aliposema wale wanaosema jamaa ni fisadi wanasema hivyo sababu nao hawajapata nafasi kama ya huyo wanayemsema fisadi kwani nao wangefanya hivyo hivyo ni kuwa tu hawajapata jiyo nafasi.
Huko ccm kuna chuo cha mafunzo ya ufisadi
 
Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with a luxury villa when he leaves office.

It also proposes that Mr Nkurunziza be elevated to the title of "supreme leader" when he steps down in May.... Haya yanaweza kutimia huko mbinguni
Labda anaenda kuwa kiranja wa malaika kwani alifanya kazi nzuri duniani
 
huyu aliomba na yeye maskini tu,Mobutu Seseseko kuku wa nzagamba alibeba akahamishia Ubeligiji na France Mihela kibao siku kimenuka wakamkataa aende mkimbizi mihela yote kaacha kule kafia Morocco.
bwege sana
 
Kuna wakati tunajisahau nakudhani tunaouwezo wa kumpangia Mungu tuishi miaka mingapi, sio busara sana kujitungia sheria za kuendelea kujiheshimisha na kujirundikia madaraka na mali kana kwamba utaishi milele

Hii ya kutunga sheria za kumlinda Rais asishitakiwe baada ya muda wake inaonekana kama ni mkakati wa Siri kwa baadhi ya nchi zetu za ukanda huu.

Burundi waliipitisha, aliyelazimisha Mungu kaamua akamlinde yeye huko asishitakiwe na wanadamu

Hapa kwetu imepitishwa wakati hakuna Rais, Makamu Rais, Spika, Waziri Mkuu wala Jaji hata mmoja aliyekwisha sumbuliwa mahakamani kwa kushitakiwa kwa kosa lolote alilotenda akiwa madarakani.

Tunaogopa nini hadi kurekebisha sheria ambazo hazijaonyesha uhitaji wowote wa marekebisho?

Tunajiandaa kufanya nini miaka mitano ijayo? Mbona tunajihami sana kuliko watangulizi wetu? Haya ni maswali ya kujiuliza na wakati tunajiuliza tujifunze kwa Nkurunzinza pia. Alifanya yote hayo lakini hakuna hata moja ameliona likifanya kazi kwake
Screenshot_20200613-073222~2.jpeg
 
huyu aliomba na yeye maskini tu,Mobutu Seseseko kuku wa nzagamba alibeba akahamishia Ubeligiji na France Mihela kibao siku kimenuka wakamkataa aende mkimbizi mihela yote kaacha kule kafia Morocco.
bwege sana
Tatizo huwezi kimbia na mihela yote,hainei mfukoni,wale unaoamini wakutunzie ndo wanakupiga,,San Abacha nae alichota bilions ya madola wakampiga
 
Alitawala kwa nguvu na hakuondoka mpaka Bunge limpe mshahara kwenye nchi masikini. Sasa jiulize yuko wapi leo. Hawa viongozi wetu wa Mungu watu wajue huwezi kujua kesho kitatokea nini!

Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with a luxury villa when he leaves office.

It also proposes that Mr Nkurunziza be elevated to the title of "supreme leader" when he steps down in May.

View attachment 1476821
Funzo kwa wale wanapata madaraka na kujiona miungu watu na kuwaumiza binadamu wenzao wajue hivyo vyote vitapita hakuna cha milele
 
Familia itapata hizo pesa au ndio basi?
Imeisha hiooooooooo,na hata wakinyimwa hawana cha kufanya.

Mtoto wa Pierre ambae ni Soldier bado ni kanyokaa sana ndio kwanza ana Nyota 2 tu,hana influence yoyote ile jeshini na ni mtoto wa mama hawezi sema ataweza kuasi wala kufanya chochote.

Mke wa Pierre asishangae akienda ikulu kwa Evariste sasa hivi akawa anaishia getini tu anaambiwa weka appointment au mzee yuko bize.
 
Back
Top Bottom