Kama Nkurunzizah angeweka mfumo mzuri wa madaraka familia yake ingekuwa na uhakika wa kupata mafao yao kwa mujibu wa sheria.Imeisha hiooooooooo,na hata wakinyimwa hawana cha kufanya.
Mtoto wa Pierre ambae ni Soldier bado ni kanyokaa sana ndio kwanza ana Nyota 2 tu,hana influence yoyote ile jeshini na ni mtoto wa mama hawezi sema ataweza kuasi wala kufanya chochote.
Mke wa Pierre asishangae akienda ikulu kwa Evariste sasa hivi akawa anaishia getini tu anaambiwa weka appointment au mzee yuko bize.
Viongozi hutizama upepo unavovuma? De Santos.wa Angola aliona hivyo hivyo!Evariste ni family friend hawezi kumwangusha rafiki yake marehemu
Kama anavyolipwa mbowe kutafuna wake za watuMalipo ni hapahapa
THE SUPREME LEADER hakuwahi kufikiria hayo.Kama Nkurunzizah angeweka mfumo mzuri wa madaraka familia yake ingekuwa na uhakika wa kupata mafao yao kwa mujibu wa sheria.
Jokate anaendeleaje?Kama anavyolipwa mbowe kutafuna wake za watu
Watu wenye akili ndio huwaza mambo ya mbele. Kiongozi anayewaza maslahi yake tu badala ya maslahi ya Taifa na vizazi vijavyo hawezi kulijua hiliKama Nkurunzizah angeweka mfumo mzuri wa madaraka familia yake ingekuwa na uhakika wa kupata mafao yao kwa mujibu wa sheria.
Madikteta wengi hawadhani kama watakufaKama Nkurunzizah angeweka mfumo mzuri wa madaraka familia yake ingekuwa na uhakika wa kupata mafao yao kwa mujibu wa sheria.
Alirudi ilitangazwahivi amesharudi kumbe
Haya maazimio haya mmmmmmmhhBurundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with a luxury villa when he leaves office.
It also proposes that Mr Nkurunziza be elevated to the title of "supreme leader" when he steps down in May.... Haya yanaweza kutimia huko mbinguni
sa hivi yule wa Sudan Al Bashiri naye wanarudisha ye hakutorosha kituTatizo huwezi kimbia na mihela yote,hainei mfukoni,wale unaoamini wakutunzie ndo wanakupiga,,San Abacha nae alichota bilions ya madola wakampiga
Kila nikitafakari kulikuwa na ulazima gani wa mswada ule kuletwa bungeni nacheka kwa uchunguWaafrika tuna akili ndogo sana eti unakuta wajinga fulani wanasema mtu fulani atawale maisha bila kujua kwa kiumbe chochote humu duniani hakuna cha maisha.
Kitu ambacho George Washington alikiona mwaka 1776 eti kuna waswahili bado kabisa hawawezi kuliona leo hii mwaka 2020....!!!!! Nafikiri hili ni tatizo la IQ zaidi kuliko kitu chochote kile.
Ndio maana sisi waafrika tunafeli sana kwani tuwapo madarakani tunakuwa gizani kabisa na hatujui kama kuna na kesho pia, yaani mtu analewa hadi anafikiri anaweza akafanya kikao akamualika na Mungu vile vile.
Angalia huu mswaada uliyopitishwa majuzi na bunge, yaani watu wanachukulia kama wao ndio wanaseti ajenda za dunia na wana-act kama vile hakuna Mungu ila wao ndio mbadala wake.
Madaraka ni kitu kibaya sana hasa kwetu waswahili.
Marehemu aliomba,hakuiba,wezi walikuwa akina Mobutu,na Abacha.Kwny nchi ambayo total budget yake ni $700mil?
Alitawala kwa nguvu na hakuondoka mpaka Bunge limpe mshahara kwenye nchi masikini. Sasa jiulize yuko wapi leo. Hawa viongozi wetu wa Mungu watu wajue huwezi kujua kesho kitatokea nini!
Burundi's parliament has voted to pay $530,000 (£400,000) to President Pierre Nkurunziza and provide him with a luxury villa when he leaves office.
It also proposes that Mr Nkurunziza be elevated to the title of "supreme leader" when he steps down in May.
View attachment 1476821