Usihukumu usije ukahukumiwa......Nkurunziza kafanya mazuri yake Burundi.....Kifo ni moja ya ahadi toka kwa Mungu pengine wewe usife hata mchana huu wa leo.......Watch out.
Kwani kifo ni adhabu au?
Kila mtu atakufa, awe mwema au la wote njia ni moja. Kikubwa ni kujiandaa ukingali hai duniani ili uurithi uzima wa milele mbinguni katika ufalme wa Mungu baada ya maisha hapa duniani.