Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

🤣🤣🤣🤣
 
Bila kumsahau Kihongosi alipewa u DC baada ya kutishia kumuua zito, chalamila ni lini atasajili magufuli party yake,kessy pinda na nkamia atuwasikii aongezewe mda
 
Aliliwa kichwa kitambo yule poyoyo odunga dc wa hovyo kabisa.
Yule Bwana aliteua wahuni
Inawezekana hiki ndio kilikuw akikosi cha wasiojulikana. Walikuwa hawaogopi kitu chochote
 
Bila kumsahau Kihongosi alipewa u DC baada ya kutishia kumuua zito, chalamila ni lini atasajili magufuli party yake,kessy pinda na nkamia atuwasikii aongezewe mda
Ali Kesi na Juma Nkamia🤣🤣🤣Mkapa's voice- malof.....
 
Huyu bwana:

akikusikia masikio makavu usiache kutuletea mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…