Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

Uchawa na kukata matumaini ya Ajira.
 
Kifupi wale vihere vihere na visebengo vya kiroho upapu kwisha. Akina Muro Jeri wanapumulia makalio huku midomo ya uropokaji ikiwa eda, yule Heri Njemu yeye anapumulia tumbo lake huku hajui aongee nini wakati huo huo mikanda ikiongezewa matobo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hao wahuni kuna majira wataburuzwa ubaoni tu!
 
Hahaha... Mleta mada atakuwa kalewa mbege!

Yani katika aliowataja wote wanakula maisha.

Nilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.

Vijana wanaoaibisha wazazi wao wako chadema kama kina mdude nk.
Hata Sabaya na Ndugai walikuwa na dharau kupita zako. leo wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…