Uchaguzi 2020 Furaha Dominic, afunguka mazito kuhusu uchaguzi wa 2020

Malaika huwa wanakosa? Sio nyie mliyemuondolea uanadamu na kumpachika uungu? Leo Mungu kafanya yake ndio mnajua mtu wenu alikuwa mwanadamu na hakuwa mkamilifu [emoji817] %?

Kila binadamu mwenye imani kwa Mungu nia yake ni kuwa na maisha kama ya malaika sabubu ndilo analotaka aliyetuumba. Na Mungu kufanya yake kwa kumchukua mtu wake ni utaratibu wa kumchukua aliyemaliza kazi katika mapenzi yake na sio adhabu.

Usichukie watu kuongea habari za malaika maana hiyo itakua roho ya kishetani ila tafuta na wewe kufanana na malaika maana hauijui siku wala saa yako. Japo Mungu anajua sote tumepungukiwa ila anatutaka tuutafute sana utakatifu kwa hiyo nawe jitahidi sana kwa sifa na utukufu wa Mungu
 
Mtu mwenye akili akipokea ushauri wa kipumbavu huoni tatizo ni yeye.
 
Hata shetani uchukua watu pia kwann useme kachukuliwa na Mungu.
Kuna aina mbili za vifo kwenda kuzimu au paradiso mtu mwenyewe ndie uamua aende wapi.
 
Shujaa gani unaua wananchi wako. Mimi tangu Lissu apigwe risasi na sanane kuuwawa, nilimtoa Magufuri kwenye mawazo yangu.
 
?Huyo dogo atueleze kwanza utajiri wake ameutoa wapi ... its about time furaha, au takukuru wameshamkalia kooni nini?
Kwa mwataka anyamaze ? Mbinu za kitoto hazitishi tena zaidi ya kwatia AIBU.
 
Ni ujinga kufananisha familia , ofisi zenu na nyumba zenu za ibada na utawala katika nchi.

Kama humpendi mume wako katika familia yako unaweza kuachana naye, kama boss wako katika kazi ni fedhuli unaweza kuondoka hiyo ofisi ukatafuta kazi sehemu nyingine, kama kiongozi katika nyumba yako ya ibada ni mpuuzi unwaeza kuhamia kwingine lakini wengi katika nchi hii hawana uwezo wa kwenda nchi nyingine nzuri zaidi mambo yanapoharibika, ndio maana inabidi kuendelea kupiga kelele nchi hii iwe bora kwa kila mtu aliyezaliwa hapa na anapaita hapa nyumbani kwake bila kujali itakadi yake.
 
Iyo kwa wengi ndo inayonitia shaka, unajuaje kama ni wengi ,
 
Hata shetani uchukua watu pia kwann useme kachukuliwa na Mungu.
Kuna aina mbili za vifo kwenda kuzimu au paradiso mtu mwenyewe ndie uamua aende wapi.

Siwezi kukupa hukumu ila ujue tuu kwamba shetani huchukua watu wanaomsifu, kumtukuza, wanatumikia na kuwahukumu wengine.
Wewe hujajiuliza kama utaenda paradiso au kuzimu halafu unamhukumu aliyekuwa anatamani kwenda paradiso. Unajua alimaliziaje safari yake na Mungu wake?

Mathayo 7:1
β€œUsihukumu ili usije ukahukumiwa.
 
Iyo kwa wengi ndo inayonitia shaka, unajuaje kama ni wengi ,

Ina maana wewe hujuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ushindi kwa 84%

Wengi ndio hao, usitie shaka tena maana ni wengi bila kushurtishwa

Yaani wewe akili zako........ acha tuu ninyamaze

Hatuwahipata Rais aliyeshinda kwa 100% sasa kama wewe uliye kwenye ile asilimia ndogo unataka kupiga kelele na kuhama nchi hakuna anayekuzuia. Ila wengi wanapiga kazi na kulinda nch🀣🀣🀣🀣

πŸ’£πŸ’¦πŸ’¨
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa uchafuzi ule, mwaka Jana ni sawa hatujafanya uchaguzi, labda kipindi kijacho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa uchafuzi ule, mwaka Jana ni sawa hatujafanya uchaguzi, labda kipindi kijacho

Na unauita uchafuzi ndio ulikuja kuthibitishwa haukuwa uchafuzi kwenye hizo video

Sababu wakati mimi na wewe kwa uchache wetu tunabishana hapa online, wale waliowengi ndio waliovunja uzio airport na kuruka ukuta kule taifa ndio waliosimama kwenye foleni kumchagua

Ubishi upo lakini kuna la kujifunza hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mengi wengine ni matomaso mpaka waone , mtu kalala ndo wanaamini amekufa. Pia hata inapocheza Simba na Zamalek, sio wote wanao angalia mpira ni Simba wengine ni Yanga.
 
Dar es salaam ina wakazi zaidi ya milioni tano, hao waliovunja uzio hawazidi hata watu elfu tatu. Usijichekeleshe tu bila mpango.
 
Unaelewa maana ya wengi?!
 
Kama namwelewa vile
 
Mlipigwa na kitu kizito kichwani, basi endeleeni kufarijiana kwa maneno hayoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…