Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

HUYUU JAMÀ SI NDIO ANAREDIOO 90.9 FURAHA FM NA KUNA MCHUNGAJI ANAITWA KIBOKO WA WACHAWI ANAHUBIRI HUKOO DOH INABIDI AJITAFAKARII

ANAFUFUAA WATU VIA REDIO YA FURAHAAA HAHAHAAAAA DUNIA HADAA ULIMWENGUDSHUJAANim
Nimecheka sana hapo kwenye kufufua watu
 
Huyu chawa hajamaliza upumbavu wake huu wanamleta kuzima hoja za utekaji.

Gwajima ni tapeli ila hoja zake za juzi zina mantiki .

Kama wameamua kumjibu waje na ushahidi sio sindimba hizi wanazopiga.
 
Back
Top Bottom