Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Huyu wa picha za utupu sio yule binamu yake na Jiwe kweli?
Enzi za mjomba wake alifanya mabaya na machafu sana kwa watu!
Alidhulumu hadi haki za kuishi za watu na alikuwa akijiita usalama wa Taifa!
 
Swali la kwanza = Hakuna
Swali la pili=Hakuna
Swali la tatu=Hakuna

Muulizaji anauliza kutimiza itifaki tu ama?
Waitikiaji nao?

Hizo swing wakati na kushika kipaza sauti na total body motion yake ni attitude ama?

Huyo jamaa mwenye Ndevu na upara kamuangalia mshika kipaza sauti kichwani mpaka miguuni, mara mbili! Sampling ama?!

Inaonekana Chaguzi za ndani na kura za maoni CCM ni ngumu kuliko G.E.
Body language imejaa ujivuni.
 
Swali la kwanza = Hakuna
Swali la pili=Hakuna
Swali la tatu=Hakuna

Muulizaji anauliza kutimiza itifaki tu ama?
Waitikiaji nao?

Hizo swing wakati na kushika kipaza sauti na total body motion yake ni attitude ama?

Huyo jamaa mwenye Ndevu na upara kamuangalia mshika kipaza sauti kichwani mpaka miguuni, mara mbili! Sampling ama?!

Inaonekana Chaguzi za ndani na kura za maoni CCM ni ngumu kuliko G.E.
Yaaah ni Bora ukafanye Interview UN au sehemu nyingine kuliko kazi ya kupigiwa Kura.!
 
MULIRO CHUNGUZA NA HII REDIO 90.9 KAMA WANALIPA STAHUKI ZA SERIKALI NA FWATILIEN VIPINDI VYAKEE USANII MTUPU MWANZO MWISHO
CC
TRA
....NK
Mpwaa mitaa yangu ya nyumbani pia siyo mbali na mzee wangu hapo...nmepita hapo naona hapaelewekieleweki

Ova
 

Attachments

  • 20240424_110821.jpg
    20240424_110821.jpg
    1.6 MB · Views: 11
Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE ama sikijui au nikitaka Kukijua ndani ya dakika chache tu nakijua. Nina Watu Mkuu.
Humu wanaokupuuzaga na kukidhihaki huwa nawashangaaga sana
Ila wajanja na wale wanaojua kungamua mambo ahh tunakusoma na kukielewa sana
Alafu genta sahv usiwaamshe waliyolala
We waache na ubishi wao tu

Ova
 
hAPOO NDIPOO NABIII MMOJA KIBIO WA WACHAWI ANAWAFUFUA WATU KUPITIA REDIO HII HAHAHAHAAA FURAHA NOMAA
 
mhunii furahaaaa wamemuwahi hivi adhabu zake zinasemaje aandike wosia kabisaa
 
Mzee anaishi huku kitambo tu
Sahv syo kiko ni white star naona mzee mbowe wa white star kataka jina la mtaa uqe wake
Si unajuwa huku ukiangalia kule anakaa karamagi mara kushoto weremA 😄
Home huku ila mm bado mtoto wa kino bana

Ova
Hahahahaha basi tunakaa karibu karibu..white star hapo juu kulikua na Mimosa Bar and restaurant ilikua nakaa sana hapo jioni
 
Kama anaweza kupata picha za utupu za watu maarufu na vigogo huko Serikalini, basi huyo ni "Kachelo" mzuri, amefuzu vyema katika tasnia ya Sexipionage.
Kabisa,maana ili picha yako ifanikiwe kupatwa ,ili uweze kuchukuliwa video Maana yake umezidiwa akili.Mfano Gwajima tuliona yeye mwenyewe kabisa anarekebisha angle ya caméra.Ya Nyalandu unaona kabisa akiwa anaingia,ana tomba kila kitu kipo clear.
 
Fedha "alizopiga kihuni" wakati wa mjomba zimekata kiasi cha kufanya huu uharamia?!
Huyu ni wa kupiga mawe hadharani hadi aende kule wanakoenda washenzi kama yeye!
 
Back
Top Bottom