Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Ni mpwa wa Magufuli alishinda Kura za maoni jimbo la Kawe Kwa support ya Magufuli halafu Magufuli huyohuyo Kwenye vikao vya juu akamchangia akamchagua Gwajima .
Yaani kichaa Magufuli aliifanya hii nchi kama mali yake binafsi
LOoooh. Kumbe!
Sasa mkuu wangu 'mnengene', unasema "...kichaa Magufuli aliifanya hii nchi kama mali yake binafsi", kwani wewe sasa hivi bila ya uwepo wa huyo Magufuli, unaona unafuu, au tofauti yoyote; au kwa vile wakati huu watu hawapigi kelele nyingi na mabavu makubwa kutimiza wanayoyataka ndiyo unayoiona kuwa ni nafuu?

Siku hizi mambo hayo hayo yanafanyika kwa kutumia lugha laini laini, udanganyifu na ulaghai mwingi kufubaza hisia za watu, lakini matokeo ya matendo hayo ni mbovu zaidi hata kuliko yale ya kichaa Magufuli.

Siku hizi mambo yanafanyika kimya kimya, yakigundulika, lugha nyororo na kuhimiza lugha za "staha" na "ustaarabu" huku uchafu ukionekana kufanyika hata zaidi ya ule wa Magufuli katika maeneo mengi serikalini.
kilicho badilika ni mtindo tu. Yule 'jambazi' wa mwanzo (Magufuli) alikuwa akitumia unyang'anyi kwa maguvu, silaha, n.k.
Hawa 'majambazi' wa sasa wanavaa masuti na vilemba vya hariri na kutumia lugha nyororo, huku wakikunyonga vilevile.
 
Haiitaji akili sana huyu Furaha Dominic ndiye aliyemshinda Gwajima kura za maoni huyu jamaa nyuma ya pazia alitumiwa na Bashite kum blackmail Gwajiboy na huu ni mkakati maalum wa kudhoofishana ila uzuri hizi kete zinasukumwa na Watu wa system wenyewe Kuna Ile ngome imeapa iwe mvua iwe jua kabla 2025 lazma lile kundi la upande wa pili warudi kati tena baada ya ile 12.5.2023.
So hii nguvu yq Makonda siyo yeye ni Kama Cyprian Msiba wao wanatumika Kama kete za drafti hakika mwaka huu wote wameamua na hawapo tayari kurudia makosa ya 17.3.2021 acha wapasuane wamalizane Taifa libaki salama bila haya makundi 4 Makubwa Kama wanavyotaka System uzuri Mama Kizimkazi anajua mstari ulipochorwa tangu mwaka jana aliamua ku step down (Tizi na Jeiwii) wasafishe nyuma japo na yeye ni sehemu ya huo uchafu.
Broo CCM nI Mafiya c mchezoo kukutoa mhanga ni dakika sufuri tu kama huna timu kali hotoboi CCM ni kama GININGI ukifanya mchezo unatolewa kikoa kazi kwenu.
 
LINI ANAENDA MAHAKAMN
KKWENU WANASHERIA HIVI SI INABIDI TUONYESHWE HIZO PICHA .VID MAHAKAMANI KAMA USHAHIDI??


MAANA A HATA WAKE ZETU/DADAZETU WANAWEZA KUWA WAHANGA WA HUYU MSHENZI.TJUZWE WANANCHI TUJE KUZIONA...IKIWEZEKANA MKIDILI NAE HUKO POLISI TUDILI NAE NA TIBA ASILIAA..OMBII TU...


USIJE SHANGAAAAA UNAPITAAA SEHEMU WATU WANACHEKA UNASHANGAA KUMBE WAMEONA PICHA ZA MKEO AKILIWA 😂

SHETANI HUU ASIACHWEE...
Kwanini asiruhusiwe kiziweka hadharani akiwa analiwa
 
Sitaki Kuhoji sana kwanini umekuwa Tajiri ghafla kwani najua Ofisi uliyokuwepo ambayo Mjomba wako alikupigia pande kuwepo pale ( hapo ) ndiyo ilikufanya uwe na Fedha nyingi kwani ulitumika sana Kuficha Udhaifu wa Mapapa wa Dawa za Kulevya waliokamatwa na kuja Ofiisini Kwako kwa Vipimo.

Na najua kuwa umepiga Pesa ndefu hapo ambazo zilikupa Jeuri ya Kulala na Mademu wa kila aina Tanzania na hata Nje ya Tanzania. Kuna Rafiki yako Mmoja mwana CCM yuko Mbezi Beach alishakuonya Siku nyingi kuwa kuwa makini na Nyendo zako kwani uko Mtegoni lakini ulimpuuza.

Pole kwa Kukamatwa Kwako huko japo najua Wafanyakazi wa Redio yako uliyoianzisha ya Furaha FM sasa hawatolala kwani wanajua Taita Wao ( Boss Wao ) kawekwa Nyavuni. Hivi ni kwanini nyie Vijana mkishapata Hela zenu za Magumashi na Ngada ( Cocaine ) huwa hamtulii ili mzitumie kwa Amani na Mnajichanganya nazo?
 
Shida ni uchaguzi,,kwa hiyo huwa anaitwa kwenda kuwAzoom wakiliwa Uroda? Hapana , polisi watuwekee picha hizo za video tuzione
 
Back
Top Bottom