Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).

Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua shughuli za huyu kijana na namna anavyojipatia pesa.

Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi, kanda maalumu ya Dar es Salaam Inspk Murilo amesema ushahidi wa awali umekamilika na mtuhumiwa atafikikishwa mahakamani.

Chanzo Uhondo Tv

Video iko chini

View attachment 2971429
Dogo huyu mpuuzi kumbe anajionaga kuwa yuko vzr mjomba ake kamtafutia Kaz ya tfda Huko Arusha namanga ,alihusishwa na kashafa za rushwa ndio maan magu alivyo aga tu dunia siku hyo hyo tfda ,tbs wakamfukuza kazi
 
Kile kichwa nilijua tu Kuna Mambo kinafanya ambayo ni ya ujingaa ,utoto ni mwingi sana eti ndo alitaka apewe ubunge angevulunda tu yulehata
Mm nilimtilia mashaka Sana alivyo fukizwa tbs na tfda
Kuna walakini hapa. Huyo Furaha anawarekodi vipi hao viongozi wakiwa faragha?

Hebu tuwe serious.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unamchukia kwa kuwa anakuzidi kwenye kujenga hoja za kutetea chama chake kuliko wewe unavyotetea cha kwako kwa porojo na udaku. Una post nyingi zaidi za kumpromote Makonda kuliko kukielezea chama chako na wanasiasa wake akina mdude.
Sasa Lucas anajenga hoja gani mkuu, yaani zile pumba na vioja unaziita hoja?
 
Alikuwa chama gani?
Dah, kukatwa na Magufuli, itakuwa ni mtu wa CCM huyo. Hiyo ni sampuli ndogo tu ya watu waliomo ndani ya chama hicho enzi hizi.
Blackmailing ndio mbinu kubwa wanayotumia watu wa CCM, hata zile drama za Makonda ni njia zake za ku blackmail wenzake ndani ya CCM.
Hiki chama ni sawa na kuweka sumu ndani ya kichupa cha chumvi katika dining table yako ukachanganya na vingine!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ni presha za uchaguzi wa 2025, hivyo wanasiasa wanachafuana sana ndani ya CCM. Jamaa anapiga pesa kwa huo mchongo kwa kuletewa hizo picha na watu wengine.
Kumbe ni kitu anafanya kweli Mkuu?

Kama ni hivyo basi atatiwa hatiani Kwa kosa hilo
 
Najaribu ku-connect dots,huyu ndie alimshindaga Gwajima kwny uchaguzi wa ndani ya chama(Kawe) ingawa mjomba wake alimkata(Magu) akampa Gwajima.Je huyu ndiye aliyesambaaza connection ya Gwaji boy enzi zile?
Hata mimi nimejiuliza jee ndio muhusika wa filamu ya MKONO WA BAUNSA?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
LINI ANAENDA MAHAKAMN
KKWENU WANASHERIA HIVI SI INABIDI TUONYESHWE HIZO PICHA .VID MAHAKAMANI KAMA USHAHIDI??


MAANA A HATA WAKE ZETU/DADAZETU WANAWEZA KUWA WAHANGA WA HUYU MSHENZI.TJUZWE WANANCHI TUJE KUZIONA...IKIWEZEKANA MKIDILI NAE HUKO POLISI TUDILI NAE NA TIBA ASILIAA..OMBII TU...


USIJE SHANGAAAAA UNAPITAAA SEHEMU WATU WANACHEKA UNASHANGAA KUMBE WAMEONA PICHA ZA MKEO AKILIWA 😂

SHETANI HUU ASIACHWEE...
 
Back
Top Bottom